Tuanzeni kususia bidhaa za mafisadi

Tuanzeni kususia bidhaa za mafisadi

Kuna tetesi kwamba waliokufa Ni 3500 na majeruhi Ni 15000.
Hivyo tuchukue hatua zifuatazo

1: Hakuna kupanda gari ya fisadi

2: Hakuna kujaza mafuta kwenye Kituo Cha mafuta Cha fisadi.

3:Hakuna kununua bidhaa ya fisadi.

4:Hakuna kuudhuria show za wasaniii machawa lakini pia tumaweza organize kwenda kufanya fujo kwenye show zao .

Mpaka pale mafisadi watenda haki kwetu

Mpaka pale wezi watatupa katiba mpya Tena ile ya Warioba

Mpaka pale tutakapopata tume huru ya uchaguzi na kuweza kuchagua Viongozi tunaowataka sisi.

5: Pia tuendelee kuwashughulia Wana CCM mitaani tunapoishi Popote Tanzania mpaka pale tutakapopata haki.

Tukiwashughulikia Wana CCM watatusaidia kupush agenda zetu na tutaheshimiana na kurudi kuwa Kama zamani.

Ila Watanzania mkilala nchi yenu ndio imeenda hivyo mafisadi hawana cha Kupoteza

Kwanza 90% Ni mzee ya ovyo ambao umri wao wa kuishi wengi Ni 10-15 years.

Ndugu zangu watanzania kisasi ni haki

Hawa sio wa kuwaacha resistance ianze Mara moja.
Mnachekesha!! Mmetepeta Kama mlenda!! Mataahira
 
Weka majina ya mabeberu na mafisadi tutasusia biashara zao zote
Anza na GSM acha kununua vitenge vya Yanga
Magodoro
Nk

Njoo kwa wakina Abood, Shabibi na wakina msukuma Wana mabasi acha kupanda

Nenda kwenye mahoteli yao na baa acha kunywa pombe pale yawe magofu

Nenda lake oil na Taifa gas acha kutumia hizo hasi biashara yao Ife

Kususia bidhaa inaweza kuwa nkia Bora Sana ya Hawa wahuni kijisalimisha
 
....kufanya fujo kwenye show zao
Two wrong things don't add up to a right thing.
===
Unaandalia watu jinai. Na hii si sawa! Zifuatwe hatua stahiki zenye misingi ya haki na sheria kushughulikia matatizo, changamoto na maafa yaliyojitokeza!!!
 
Kwaiyo mtu akipora ndo apigwe risasi na polisi?
Walishindwa nini kuwakamata na kuwafikisha mbele ya mkono wa sheria
Mtu anayepora, kuchoma na kuharibu mali za umma na mali binafsi anatakiwa kuuliwa kwa namna yoyote iwezekenavyo.
Huwezi kufanya uhalifu halafu uanze kuwaambia uliowakosea namna Gani ya kukushughulikia,that is up to them to decide.
 
Mbona mafisadi na wezi wa mali za umma hawauliwi
 
Kwaiyo mtu akipora ndo apigwe risasi na polisi?
Walishindwa nini kuwakamata na kuwafikisha mbele ya mkono wa sheria
Wewe mtu akikupora utamchekea? Ukiwa mporaji utakutana tu na risasi maana hakuna namna nyingine utaelewa.
 
Wewe mtu akikupora utamchekea? Ukiwa mporaji utakutana tu na risasi maana hakuna namna nyingine utaelewa.
Mbona unakuwa mpumbavu
Kuna watu walikuwa wakiwa wapo nyumbani kwao
Master Tindwa alikuwa anapora Kwa nani?
 
Mtu anayepora, kuchoma na kuharibu mali za umma na mali binafsi anatakiwa kuuliwa kwa namna yoyote iwezekenavyo.
Huwezi kufanya uhalifu halafu uanze kuwaambia uliowakosea namna Gani ya kukushughulikia,that is up to them to decide.
Waliichoma mali za umma na biashara za mafisadi ni masikini hawana cha kupoteza,watalii wakipungua na hotel zikapungua wageni masikini hana cha kupoteza.
 
Back
Top Bottom