Tuanze na hili rahisi

Unamwambia: sawa, nitachagua, ila naomba ni chague option nisio ipenda. nikichagua YOU STAY, maana yake I have to leave, na nikichagua YOU ARE FIRED I got to stay. since chances are 50-50, I hope you don't mind Mr President?
 
hii ni kama ile michezo ya wahuni wanachezesha kamari barabarani, kuna viberiti vitatu vinafanana kimoja kimejaa njiti, wanakuonyesha na vingine havina wanakuonyesha alafu wanavichanganya kwa kuvihamisha places, then unatakiwe uweke pesa juu ya kiberiti unachodhani ndio kile kilichojaa....lazima ukose maana vyote vinanjiti upande mmoja na upande mmoja tupu, wamezimekata njiti katikati wanchofanya ni usanii wakati wa kufungua vile vibiriti.
 
Back
Top Bottom