Tuanze kufuta jina la Mazimbu SUA

Tuanze kufuta jina la Mazimbu SUA

Angekufa mutoto ya kiongozi tungesikia matamko kama mia mbili kutoka serikalini lakini kafa miiza fegi haijamgusa mwenue tumbo kubwa yyte
 
Hawa wahuni wa SA wanaua ndugu zetu Kyle kwao
,Hv wabongo hatuumii tukiona ndugu zetu wanachomwa?
Kwa kuonyesha kuwa na sisi hatufurahii kinachoendelea tuanze kufuta jina Lao kwenye hostel za Mazimbu kule Sokoine Morogoro.

Sure, kuna vipicha vya kuchora na makaburi kibao huko solomon mahlangu campus. Wafute maandishi yote na yufukue hivo vikaburi vyao. Bora makaburu
 
Haya ni maneno ya Solomon Mahlangu ambaye ndo alikua mkuu wa Kambi yao ya Mazimbu, tunatakiwa tuyafute pia
 

Attachments

  • 1429508588686.jpg
    1429508588686.jpg
    36.8 KB · Views: 109
Back
Top Bottom