Tuambie uko wapi na unauza nini?

Niko hapa nilipo; na ninauza kila kitu kilichopo kwenye ubongo wangu EXCEPT ubongo wenyewe
 
Sasa tukinadi biashara hapa tukafikia kwenye swala la malipo tayari my identity is out there! Na mambo yalivyo mengi sasa nyakati hizi👀 Ngoja tutumie tu platform zingine 😔
 
Nauza nguo za jinsia zote, viatu vya ofisini na kutokea, mabegi ya watoto, yakusafiria na kuhifadhia vitu, saa, wallet, bracelets. Vilevile kwa wanaohitaji simu, pods zinapatikana.

Napatikana Mwenge
mawasiliano 0794 780 246

Karibuni, Uliza bei nikujuze. Bei zetu ni nafuu mno.
 

Attachments

  • IMG-20250513-WA0045.jpg
    153.2 KB · Views: 6
Vilevile nauza viatu vya michezo (mpira wa miguu), soksi pamoja na guard.
Bei ni kuanzia Tsh 80,000.

Hivyo na vingine vingi, KARIBUNI
 
Nakazia

Kuna siku mtu kanicheki akasema ametoa namba zangu insta, kwa bahati mbaya huko insta sijawahi post hiyo biashara. Nikajua tu kuna mahali nshajichanganya moyo ukawa mzito kabisa.

kuna siasa na wake za watu, hivi vitu n hatari mno.
Una bahati Sana, unge kaa kwenye mikono yangu unge ishia kupostiwa na mishumaa nusu albino wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…