Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 12,897
- 24,301
Akili zao kaziyeyushe kama mgandoAkili mgando
Akili zao kaziyeyushe kama mgandoAkili mgando
Utanishukuru baadae...Kwanin
Nazima. Usiku Napenda utulivu
Utulivu wa kijichukulia Sheria au...Nazima. Usiku Napenda utulivu
Napenda kukoncetrate tu na kitu kimoja either usingizi or babayeyoo!Utulivu wa kijichukulia Sheria au...
Usingizi siyo kweli...Napenda kukoncetrate tu na kitu kimoja either usingizi or babayeyoo!
Ndoivo.Sipendi usumbufu wa simu za UsikuUsingizi siyo kweli...
Nipo kama bundi muda wowote ukipiga napokea...Ndoivo.Sipendi usumbufu wa simu za Usiku
Thubutuuuuu! Labda ukiwa huna wa kumla kichwa Usiku huo😁😁😁😁 ambapo kuna muda asubuhi nakuona kuwa ulikesha ukiwanga uzi wa Usiku wa manane 😂😂!Nipo kama bundi muda wowote ukipiga napokea...
Simu yangu kuzima ni pale inapokuwa Haina chaji tu mkuuHabari machalii…
Leo nazungumza na jamaa zangu mnaozima simu ikifika usiku. Kwanini unapenda kuzima simu ikifika usiku?
Ikitokea dharura watu wakitaka kukujulisha usiku huo watakupataje?
Haya tuambie kwanini unapendelea kuzima simu?
Ni kama Mimi tu mkuu 😅Mi huwa sizimi ila pia kupokea changamoto aiseeee....
Yaaani kupokea usiku daaah bora wanikate mikono tu
Mara chache sana nauendea huo uzi, mara nyingi nakua busy na mambo yangu usiku wa manane ambayo niachiwe mwenyewe...Thubutuuuuu! Labda ukiwa huna wa kumla kichwa Usiku huo😁😁😁😁 ambapo kuna muda asubuhi nakuona kuwa ulikesha ukiwanga uzi wa Usiku wa manane 😂😂!
Umetishaa 😁Mara chache sana nauendea huo uzi, mara nyingi nakua busy na mambo yangu usiku wa manane ambayo niachiwe mwenyewe...
Usiwe unazima simu usiku...Umetishaa 😁
Ili??Usiwe unazima simu usiku...
Niwe nakusikiliza ukipumua usingizini...Ili??