Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,234
- 68,268
Habari machalii…
Leo nazungumza na jamaa zangu mnaozima simu ikifika usiku. Kwanini unapenda kuzima simu ikifika usiku?
Ikitokea dharura watu wakitaka kukujulisha usiku huo watakupataje?
Haya tuambie kwanini unapendelea kuzima simu?