SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,359
Chai hiyoAlivyosema wana miaka 14 moja kwa moja nikaweka ?? Kwa sababu Mpesa na tigo pesa kama sikosei zimeanza 2008-2009
Ila zilipamba moto kuanzia 2010
Sent using Jamii Forums mobile app
Chai hiyoAlivyosema wana miaka 14 moja kwa moja nikaweka ?? Kwa sababu Mpesa na tigo pesa kama sikosei zimeanza 2008-2009
Ila zilipamba moto kuanzia 2010
Kwahiyo ulibahatika kwenye ule uzi!??kwenye uzi wa selfie.
Assuming jamaa alioa kesho yake baada ya kukutana msibani basi ni almost miaka 15 coz kuna ile miezi minne ya kuwasiliana..
Miaka 15 from now ni almost 2004
Kwahyo unataka kusema 2004 kulikuwa na Mpesa??
Jamaa katulisha chai hii hata hio kodi aisee 2004 hadi 2008 hio kodi ni kubwa sana Kya mweziAssuming jamaa alioa kesho yake baada ya kukutana msibani basi ni almost miaka 15 coz kuna ile miezi minne ya kuwasiliana..
Miaka 15 from now ni almost 2004
Kwahyo unataka kusema 2004 kulikuwa na Mpesa??
Shukrani mkuu.Endelea kuruka ruka mkuu huends ukatua mahali sahihi
Asante mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23]endelea tu kurukaruka
Asante mkuu.
Vipi sasa unaniambiaje na wewe?
Full kutuchanganya na hizi id...yani unapush maombi ya id fulani awe mke kisha gafula kabadili id.Hongera mkuu....
Mimi bado narukaruka kutafuta mwenza PM na sijibiwi miaka sasa imepita.
Niliota ubavu wangu upo hapa JF.
Sijui nachokifanya ni sahihi?
Mimi nakutaka wewe halafu unaniambia niendelee kuruka ruka.mi nasema iv kazana kuruka mkuu, ila uruke vzr
Hahaha.Full kutuchanganya na hizi id...yani unapush maombi ya id fulani awe mke kisha gafula kabadili id.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nakutaka wewe halafu unaniambia niendelee kuruka ruka.
jamaa angepanga vizurii uongo wakeKurunzi, miaka 14 ya ndoa na mpesa yenyewe haina hyo miaka 14?...umetuchota aisee!!!au ulitaka kusema miaka 4?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mpendwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeh endelea kuruka ruka ad urukie kwang sss
Haya mpendwa.
Mbona unapenda kuchomekea madongo sehemu isiyohusika? Suala la kubadili I'd libahusikaje hapo [emoji16][emoji16]Full kutuchanganya na hizi id...yani unapush maombi ya id fulani awe mke kisha gafula kabadili id.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu member wa 2009, mtu kama alikuwa na access ya internet mwaka huo sasa hivi atakuwa amekuakua kidodogo, watu kama hao tunategemea walau wataleta topic za maana ila wapi wanafanya mambo yaleyale ya watoto wa sekondarijamaa angepanga vizurii uongo wake