Tuambie jinsi ulivyompata mwenzi wako

Tuambie jinsi ulivyompata mwenzi wako

Wise E, halafu atakuwa ana aproach 40 huyu mkubwa then anazingua
[/QUOTE]
Umejuaje kama ana approach 40? Just curious!
 
Kwa hesabu za kawaida tu kama amejoin 2009 kuna uwezekano mkubwa alikuwa above 18 (sio lazima iwe hivyo ndio maana hata yeye kasema 'atakuwa'). Tufanye alikuwa na miaka 20 wakati huo, sasa hivi ana miaka 30...ukishafika 30 unakuwa unaaproach ngapi? Na hiyo nimechukulia minimum anaweza kuwa hata alikuwa na 30+ wakati huo
Wise E, halafu atakuwa ana aproach 40 huyu mkubwa then anazingua
Umejuaje kama ana approach 40? Just curious![/QUOTE]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hizi ni story za kufikirika ambazo huwa zinaandikwa bila kuzingatia time frame so mwandishi anaweza akahisi amewakamata mapembe watu wengi kumbe kuna watu vichwani mwao wanadata ambazo hazifutiki....next time atajitahidi kutuletea story yenye kaukweli kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Au alimaanisha miaka 4 moja ikajitanguliza tu kwenye uandishi ikasomeka 14
 
Ingawa mtoa mada hakuzingatia time frame kwene hadithi yake, nimeshuhudia binam angu walioana na mkewe kwa njia hiyo ya kukosea kutuma pesa.....binam ndiye alikosea yule dada akamrudishia mawasliano yakaanza, distance sasa! Kanda ya ziwa, na nyanda za juu kusini lakini walikutana na walioana na sasa wana watoto wawili
 
Wewe shemeji ulikutana nae wapi?? Au paka nikutane na wewe ndio tuje tulete kisa hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom