Tuambiane raha ya JAMII FORUM hasa weekend,

Jamani FB wamenimisi mno, sipatikani kabisaaa.
Instagram ndiyo kabisa sipo hata kwa dawa kisa JF.

JF raha sana.
 
Hawa waomba pesa , maarufu kama wapiga mizonga huwa nawapenda sana,
Ni pm namba yake,
Ataliwa kwa gharama ya shilingi elfu ishirini ambayo ni pesa ya kulipia chumba na usafiri.
 
  • Thanks
Reactions: lup

mizonga>>>>Mizinga
 
Yan raha zote humu....Niko kwenye kabar kamtaani2 peke yangu hubby kasafiri napata vibia vya baridiiiii kamziki bila kusahau Jf yan macho yote kwenye cm
 
Sijawahi kumpa mwanamke ninaekutana naye mtandaoni zaidi ya 5000,na kuliwa analiwa bila shida..yaani wewe 20000, ila hongera
 
Yan raha zote humu....Niko kwenye kabar kamtaani2 peke yangu hubby kasafiri napata vibia vya baridiiiii kamziki bila kusahau Jf yan macho yote kwenye cm
Sema tu ni sehemu gani hapa public ndio utaona PM inavyopata Wateja..na ndio raha ya JF pia
 
Back
Top Bottom