Tuambiane raha ya JAMII FORUM hasa weekend,

Tuambiane raha ya JAMII FORUM hasa weekend,

lup

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
2,514
Reaction score
2,743
Mimi niko hapa kwenye mawe marefu karibu na ziwa huku kabaridi kanapiga,Niko pekee yangu na ka huawei kangu,
Napitia jamii forum pole pole ili kuiweka siku yangu ya furaha,nakuta nyuzi mpya na za zamani pia naanzisha zangu na watu wa maeneo tofauti tunaanza kujibisha kwa heshima halafu ghalfa naingia PM, nakuta ujumbe mpya safi...
Tunajikuta tunajibisha na kujenga urafiki wa nyuma ya keyboard..
Shida kubwa ni pale mtu anaku-PM halafu ujumbe wa tatu tu anakutumia namba na mzinga wa 10,000/- yaani najiuliza kuchati na wewe tu lazima nilipie ..
JAMII FORUM BWAANA RAHA SANA.
 
Unasemezana na nani PM mkuu!??
 
  • Thanks
Reactions: lup
Hayo mazingira uliyopo ulivyoyaelezea kiufupi, nimejikuta natabasamu

Mtumie kama unayo
 
  • Thanks
Reactions: lup
Mimi ndo huwa outing yangu siku za weekend mkuu naenjoy sana
 
  • Thanks
Reactions: lup
JF ni raha muda wote...
Ukiingia mara nyingi unakutana na yenye kufurahisha, kukarahisha, kuelimisha na hata kupotosha.

Well PM, wapo wanaoomba msaada wa mambo mbali mbali, including asking for money...

Cc: mahondaw
 
Hayo mazingira uliyopo ulivyoyaelezea kiufupi, nimejikuta natabasamu

Mtumie kama unayo
Na hiyo ndio raha ya jamii forum pale unapocheka kwa kusoma tu
 
Hayo mazingira uliyopo ulivyoyaelezea kiufupi, nimejikuta natabasamu

Mtumie kama unayo
Na hiyo ndio raha ya jamii forum pale unapocheka kwa kusoma tu
 
Back
Top Bottom