Prisoner 46664
JF-Expert Member
- Dec 18, 2010
- 1,948
- 1,238
Kama suluhisho la matatizo yeti ni kutoka nje kwa nini basi tusiende hadi mwisho wa hoja? Sijui watatoka nchi gani!
Rais tu anatosha mkuu..rais akiwa na msimamo hawa wa chini wote wataiga na kufata maagizo vizuri tu na nchi itaenda vema..tungemuomba kagame tu achukue hii challenge hapa,sababu pale Rwanda tayari ulimwengu umeshaona..