#COVID19 Tuache utani, tunataka chanjo ya COVID-19!

Mwisho wa siku sijui tutakuwa wageni wa nani, kwa sababu hama hatujachanjwa, hatutaruhusiwa kutembelea hizo nchi za wenzetu ambao watakua washachanjwa. Tunahitaji chanzo
 
Jana nimesikia ktk taarifa ya Habari Raisi wa EU (umoja wa ulaya) akisisitizwa kuanzishwa HARAKATI kwa sheria ya ‘chanjo ya COVID 19’ kwa wasafiri watakao ingia kwenye nchi hizo ili kulinda raia wao,nikawaza kwa sauti sheria hii inaweza kuwa na Athari gani kwa nchi zilizoamua njia tofauti ?
Utasafiri na nyungu zako!
Hapo sasa.
 
Sikiliza video hii hadi mwisho kila utaamua mwenyewe, kama chanjo ni muhimu au sio muhimu.
 
Sitaki kurumbana nawe, tafuta anayejua matumizi ya alama ! Akueleweshe. Sawa nina uwezo mdogo wa kufikiri, wewe nani alikuambia tunataka chanjo ya Corona na umeamua kumshangaa, vinginevyo ondoa ! Ili nikuelewe.
Hata ulichoandika hakieleweki.
Kaa chini fikiri kwanza.
 
Back
Top Bottom