Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,009
- 63,103
Hii ni hadi atakapoi petea Nani hii,ndiyo Watanzania watakuwea seriousHivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Kama wa nyumbani kwake wako kimya kiasi hiki ina maana yuko salama huko aliko.Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Kawaulize ndugu zake tafadhaliHivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Nimeelezwa yuko kwake, ni yeye mwenyewe ameamua kutulia kimya, ndio maana there is no complain from ndugu zake, jamaa na marafiki.Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Kashasahaulika, Inaonekana hakuna wanaojaliHivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Hebu tukumbushe kwanza ni lini uliwahi kuambiwa alikokuwa Abood Jumbe mara baada ya kufukuzwa Umakamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Rais wa Zanzbar. Au ulikuwa bado mtoto?Hivi hivi, kimasikhara aliyekuwa katibu mkuu na makamu wa rais haonekani, haijulikani yuko wapi. Hii inakuwaje?. Maisha yanawezaji kuwa normal wakati hali ni abnormal?.
Taifa lina haki ya kuelezwa Nchimbi yuko wapi?
Ni kwamba watu wake wa karibu ni wanufaika wakubwa wa mfumo kandamizi,Nimeelezwa yuko kwake, ni yeye mwenyewe ameamua kutulia kimya, ndio maana there is no complain from ndugu zake, jamaa na marafiki.
Voices From Within: Nimeelezwa M/Rais Mstaafu Bal Dr. Nchimbi Yuko Salama Kwake. Ni Yeye Mwenyewe Ameamua Kutulia Kimya, Hashikiliwi, Hajazuiliwa!"
p
Kaamua kuacha kwenda kanisani j/pili kama ilivyokuwa mazoea/kawaida kwake?Nimeelezwa yuko kwake, ni yeye mwenyewe ameamua kutulia kimya, ndio maana there is no complain from ndugu zake, jamaa na marafiki.
p
Anasalia nyumbani.Kaamua kuacha kwenda kanisani j/pili kama ilivyokuwa mazoea/kawaida kwake?
Kwa mkatoliki ni lazima kwenda kushiriki misa...labda kwa mgonjwa mahututi ndo anaweza kupata ekarist akiwa nyumbani..Anasalia nyumbani.
P
Kwa nin 29 october??Utamuona 29 October