Tuache unafiki tuseme ukweli

Umejaribu kwenye kochi au makabati ya jikoni kama anachosha
 
Siamini katika kumchoka mke au mpenzi ikiwa haujairuhusu akili na moyo wako vimkinai na kumchoka.
 
Mkuu nyie huwa tunawavumilia tu siku ziende na unakuta hamugegedi vizuri wala hamjui kujali twasogeza siku, so kumpata binadamu full package ni ngumu vumilianeni siku ziende za kuishi duniani.
 
Nawaambiaga watu kila siku....kama demu tu unakaa nae unachoka je mke?

Watu wanaoa kuleta viumbe dunian ila sio expectations za kujenga happy life with a partner
 
kwamba ww umeshamchoka mkeo, na yy vp umemuuliza??

Upendo huvumilia n katka kila hali, jitafakari. Mpende mtunze hakika hautamchoka.
 
kwamba ww umeshamchoka mkeo, na yy vp umemuuliza??

Upendo huvumilia n katka kila hali, jitafakari. Mpende mtunze hakika hautamchoka.
Nyie mumemuwazia vibaya mtoa mada hamaanishi kumchukia mke ila kuna ile hali kuzoeana mpaka mnachukulia kawaida yani sasa mkijipa vilikizo vya hapa na pale hali ya kuhitajiana inakua kubwa kama ndo mkali na kawivu kanaingia hapo nguvu ya kumkamia inaongezeka.

Kuvumiliana ni kama kuna maudhi ndani hapo.ikiwa kupo salama ni hali tu yakuzoea mwili wa mwenzako.
 
Wanawake ndio hawachoki
Ukidandiwa kila siku lazima uchoke kwa maana ya tamaa inapungua au kuondoka.
Ila ndani ya wiki ukitengwa siku kadhaa na usione lungu lake meibi ahame chumba au anachelewa kurudi na kutoka mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…