TUACHE UNAFIKI KIDOGO, TUONGEE UKWELI

TUACHE UNAFIKI KIDOGO, TUONGEE UKWELI

Angalia hata nyuzi za hapa JF

Mtu akileta uzi kua ana matatizo,anatafuta kazi au maisha yamempiga,
Watampa pole,atapewa moyo na kuombewa dua,''Pambana usikate tamaa,Mungu atakusaidia,anza na kidogo ulicho nacho,utatoka tu mkuu''

Mtu huyo huyo akija na uzi kua ana maisha mazuri na life lake lipo poa,atapopolewa kila aina ya matusi na dhihaka; ''Ondoka hapo kwenye sofa la shemeji yako,muda huu umesha shiba zako mihogo sio? amka utajikojolea,endelea kugombania remote ya tv na watoto wa Dada yako sebuleni''

Muhimu wewe ishi maisha yako,usitafute Public validation kuhusu maisha yako,usitafute Public approval,
Life is not a race but a journey to be savoured each step of the way,
Yestarday is history,tommorrow mystery and today is a gift,that's why we call it the present.
 
😂😂 Umeongea ukweli ambao wengi hawataki kuusikia. JF ni sehemu ya ajabu; ukisema una shida wanakutia moyo, ukisema umeanza kupata nafuu wanakukumbusha hata sofa la shemeji. 😄

Mwisho wa siku, usiishi kwa ajili ya approval ya watu.
 
Back
Top Bottom