Sawa.😆😆kasheshe
We chukua ujumbe mengine muachie mwenyewe
Sawa.😆😆kasheshe
We chukua ujumbe mengine muachie mwenyewe
kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi wako binafsi 🐒TUACHE UNAFIKI KIDOGO, TUONGEE UKWELI.
Kuna kitu nimekuwa nikikiona sana kwenye maisha ya watu, na sijui kama ni mimi nimekiona au wengi tunakiona ila tunaogopa kusema.
Kwanini mtu akianza maisha akiwa hana kitu, watu wanamwambia “vumilia, kila mtu anaanzia chini”, lakini huyo huyo mtu akifanikiwa kidogo tu, ghafla wanaanza kusema ana majivuno, amebadilika, amesahau alikotoka?
Na kibaya zaidi, wakati mwingine watu wanaotaka uendelee kuwa chini ndio hao hao wanaokuambia wanakupenda na wanakutakia mema.
Mimi nimeanza kuamini kwamba sio kila anayekushauri anataka ufanikiwe. Wengine wanataka tu usiwazidi.
Ukiwa huna pesa, wanakuita mnyenyekevu.
Ukianza kupata pesa, wanakuita mwenye maringo.
Ukiwa kimya, wanasema huna confidence.
Ukianza kujieleza, wanasema unajiona.
Ukiwa single, wanakuuliza umefeli wapi.
Ukipata mtu anayekupenda, wanaanza kuchunguza kwanini amekuchagua.
😂
Sasa swali la JF hapa ni hili:
Tunaishi kwenye jamii inayotaka mtu afanikiwe kweli, au tunataka tu afanikiwe lakini asituzidi?
Na kama unaamini watu wengi wana wivu wa mafanikio ya wengine, kwa nini huwa tunakataa kabisa tunapoitwa watu wenye wivu?
Msije na majibu ya kisiasa ya “kila mtu ana safari yake” 😂
Nataka majibu ya ukweli kabisa. Mtu akifanikiwa na maisha yake yakabadilika, ni lazima abaki yule yule ili kuwaridhisha watu waliomjua akiwa hana kitu?
Hapa ndio nataka mjadala uanze. 👀
Kuna mwingine alikua anaandika nikisoma mpaka nasema mbona kama nimeandika mimi 😆😆Sawa.
😄 Mkuu, umri sio hoja hapa. Kila mtu ana namna yake ya kufikiri. Mimi nimeandika nilichokiona na nilichopitia, sio kwamba nimekaa chini siku nzima kuwaza watu watasemaje kuhusu mimi.UNa umri gani mkuu ..
Yaan unakaa chini nakuwazia binadamu wanasemaje kuhusu ww ???
Embu kuwa kwanza kiakili mkuu alafu ukishakuwa tuone km utawajali hata wakikwambia ww n mwathirikaa..
😆😆 Inawezekana tuko wavelength moja tu mkuu. Ila kama umeona uandishi umeingia, basi hiyo ni pongezi kubwa kwangu 😂🤝Kuna mwingine alikua anaandika nikisoma mpaka nasema mbona kama nimeandika mimi 😆😆
Sijui kapotelea wapi
Huyu nae katoka ku like mada zangu muda fulani naona kaondoka na idea jambo zuri lakini
Kuna mwingine alikua anaandika nikisoma mpaka nasema mbona kama nimeandika mimi 😆😆
Sijui kapotelea wapi
Huyu nae katoka ku like mada zangu muda fulani naona kaondoka na idea jambo zuri lakini
Ukizishika utasumbua sana watu bora usizishike 😆😆😆Sijashika hela nawashaijua tabia angu 🙃😜⁉️
Mwalimu ShesRise_1ni vizuri
Ila wasije wakatumia vibaya huo ujuzi kuandika ujinga kiasi cha kukuharibia sifa nzuri mwl wao.
Watajua wenyewe who caresni vizuri
Ila wasije wakatumia vibaya huo ujuzi kuandika ujinga kiasi cha kukuharibia sifa nzuri mwl wao.
Ndiyo kubadilika huko mkuu,wakati ukiwa huna gari ulikua unasalimia watu mtaani sasa umepata gari unaweka vioo tinted hutaki salamu hizo ni baadhi ya tabia, usifanye pesa ikucontrol ila itawale na ikutii ukitumia imrishe ili irudi tena maana inasikia so kuna somo la namna ya kutawala pesa sema mimi sio mzuri sana kwenye kushusha uzi,Watu hawabadiliki, ila pesa inafungua zile tabia zilizofichwa. Kwa mfano mwingine ana roho ya kutoa ila hana cha kutoa. Mtu kama huyo siku akipata pesa kila mgalatia atafurahia maisha.
Basi tuseme si kila anayepata pesa anabadilika kuwa mbinafsi kama ambavyo imezoeleka. Wapo ambao wakipata pesa wanataka kuhakikisha walio nyuma yao nao wanafaidika na hizo pesa.Ndiyo kubadilika huko mkuu,wakati ukiwa huna gari ulikua unasalimia watu mtaani sasa umepata gari unaweka vioo tinted hutaki salamu hizo ni baadhi ya tabia, usifanye pesa ikucontrol ila itawale na ikutii ukitumia imarishe urudi maana inasikia so kuna somo la namna ya kutawala pesa sema mimi sio mzuri sana kwenye kushusha uzi
Joined Aug 24, 2026 halafu mmezoeana JF, kuwa mkweli hebu tuambie ile id yako nyingine basi!😄 Mkuu, umri sio hoja hapa. Kila mtu ana namna yake ya kufikiri. Mimi nimeandika nilichokiona na nilichopitia, sio kwamba nimekaa chini siku nzima kuwaza watu watasemaje kuhusu mimi.
Na kuhusu “kuwa kiakili”, hakuna mtu anayefika mwisho wa kujifunza. Leo unaweza kumwona mtu hajui kitu, kesho akakufundisha jambo ambalo hukuwahi kulijua.
Kama umeona nimekosea, niambie nimekosea wapi. Hapo ndio mjadala unapokuwa na maana, sio kunihukumu mimi halafu hoja ikaishia hapo. 😄
JF tumezoeana sasa, lakini tusizoeane mpaka hoja zife. 😂