Tuache siasa, Rais hajawahi kuahidi shibe!

Ilani ya Ccm iliseahje kuhusu miundombinu?
Na kilimo ilisemaje? hatukuwa na shida ya ndege wala airport huko Chato. Kama kuna waliokuwa wanapanda ndege kwa laki 9, hao ndio mafisadi wenyewe.

Nimeamua kukemea ujinga wenu wa kikada mnaotetea humu ndani
 
Ukweli ni mchungu siku zote.Siasa za majitaka ni mbaya sana,wapinzani mna kazi kubwa sana ya kuongelea shida za Taifa hili na njia mbadala ambazo ni endelevu.Hoja yangu iko wazi sana .......Ni kwamba kwenye kampeni za Magufuli na pia kwenye ilani ya CCM hakuna ahadi ya Shibe au Mvua......Wapinzani wajikite kwenye hoja za Msingi zilizopo kwenye ilani ya CCM au pengine kwenye ilani zao_Otherwise tuhamasishane kupiga kazi tu.
Kweli mini nilimsikia alipohutubia bunge kuwa baada ya "kutangazwa mshindi" akisema amejipa kazi ya kututumbua. Na kweli hili amelifanya kwa ufanisi.

Baada ya hapo ameibuka na kusema sasa kazi yake ni kuinyoosha nchi iliyopinda.

Nchi itapindaje wakati haina njaa?

Kuna yule wa viwanda anasema kazi yake ni kupiga sound tu. JMP amemchagua Jamaa ili apige sound.

Hivi aliahidi mapangaboi?
 
hahaha . ..aisee thread of the month

Tanzania kuna character flani ziko so amazing yani.

dah
 
WEWE LAZIMA MAISHA KWAKO YAWE ,MAGUMU na kulia lia njaa maana hauna cha maana unachofanya zaidi ya kutumia muda wako mwingi humu JF....maana kila UZI HUMO...NA TENA WA MWANZO KUCOMMENT
Pole.Umezoea kupata lishe kwa kutumia kulamba miguu Watawala, wenzako tuna kula jasho letu.Hata kama nikikaa masaa 24 hunilipi mshahara wala sitokuja kuomba mshahara punguani wewe.
 
Mkuu acha kuhangaika na upinzan unaotumiwa na mafisad ya rich mond
Waendelee kuhangaika na Majangili yanayotumia Escrow na Lugumi na kutafuta miguu yao.Hongera CCM chama cha Majambazi
 
Unahoji ilani ya CCM.......
Tafuta ilani ya mwaka 1995 mpaka 2000
Kisha chukua ya 2000 mpaka 2005
Halafu Chukua ya mwaka 2005 mpaka 2010 maisha bora kwa kila mtu
unganisha na ile ya 2010 mpaka 2015 ARI MPYA KASI ZAIDI
Ndipo utakapogundua kuwa Chama cha Kijani hakijawahi kutimiza kinachoahidi.
 
Je katika hiyo ilani kulikuwa na ahadi ya njaa na ukame? Kulikuwa na ahadi za Bombadier? Kulikuwa na ahadi ya uwanja wa kimataifa Chato? Kulikuwa na ahadi ya kuvunja/kusigina Katiba? Kulikuwa na ahadi ya kutowasaidia wahanga wa tetemeko na kutafuma misaada itakayotolewa iwasaidie kujenga upya nyumba zao? Kulikuwa na ahadi...
Lowassa aliahidi hayo?
 
Ni sheria iipi iliyivunjwa na Magufuli?ni ahadi ipi ya Magufuli aliyoitoa kuhusu kufariji wahanga wa janga lolote litakalotokea?Keebehi unaitafsiri kivipi?ukweli ni kebehi ku rekebisha uongo ni kebehi?nini ahadi ya CCM kuhusu uchukuzi?juakalulu kweli kweli
1.Kununua ndege nje ya bajeti ya serikali iliyopitishwa na Bunge.
2 . kuzuia shughuli za vyama vya siasa ambazo zipo kikatiba. Nk
 
Ukweli ni mchungu siku zote.Siasa za majitaka ni mbaya sana,wapinzani mna kazi kubwa sana ya kuongelea shida za Taifa hili na njia mbadala ambazo ni endelevu.Hoja yangu iko wazi sana .......Ni kwamba kwenye kampeni za Magufuli na pia kwenye ilani ya CCM hakkuna ahaddi ya Shibe au Mvua......Wapinzani wajikite kwenye hoja za Msingi zilizopo kwenye ilani ya CCM au pengine kwenye ilani zao_Otherwise tuhamasishane kupiga kazi tu.
maji taka
 
kuboresha maisha ni mkusanyiko wa mambo mengi. ilani haitaji kila kitu. inaweka vipaumbele vinavyobeba dhana yote ya maendeleo...........
 
Duuuh....hayo ni majukumu yake....lazima watu washibe...wala hakuna cha ahadi wala nn....
 
Ukweli ni mchungu siku zote.Siasa za majitaka ni mbaya sana,wapinzani mna kazi kubwa sana ya kuongelea shida za Taifa hili na njia mbadala ambazo ni endelevu.Hoja yangu iko wazi sana .......Ni kwamba kwenye kampeni za Magufuli na pia kwenye ilani ya CCM hakkuna ahaddi ya Shibe au Mvua......Wapinzani wajikite kwenye hoja za Msingi zilizopo kwenye ilani ya CCM au pengine kwenye ilani zao_Otherwise tuhamasishane kupiga kazi tu.
Niambie ahadi ata moja iliyotekelezwa ambay ipo kwenye ilani ya ccm
 
Ukweli ni mchungu siku zote.Siasa za majitaka ni mbaya sana,wapinzani mna kazi kubwa sana ya kuongelea shida za Taifa hili na njia mbadala ambazo ni endelevu.Hoja yangu iko wazi sana .......Ni kwamba kwenye kampeni za Magufuli na pia kwenye ilani ya CCM hakkuna ahaddi ya Shibe au Mvua......Wapinzani wajikite kwenye hoja za Msingi zilizopo kwenye ilani ya CCM au pengine kwenye ilani zao_Otherwise tuhamasishane kupiga kazi tu.
Ni wapinzani au wananchi wanaolalamika njaa...!? Tz kila mwaka inapofika miezi ya January hadi March kuna watu wanaishiwa chakula ndo maana serikali huwa wakati kama huu mara nyingi inatoa mahindi kusaidia kaya hizo baadhi ya maeneo. Mwaka Jana walifanya hivyo baadhi ya maeneo km mikoa ya Singida...tuombe tu hali km hiyo isije ika-extend hadi miezi ya April, May na kuendelea. Hivyo wapinzani sio wanao-outcry kuhusu njaa ni wananchi wenyewe baadhi ya maeneo.
 
Ukweli ni mchungu siku zote.Siasa za majitaka ni mbaya sana,wapinzani mna kazi kubwa sana ya kuongelea shida za Taifa hili na njia mbadala ambazo ni endelevu.Hoja yangu iko wazi sana .......Ni kwamba kwenye kampeni za Magufuli na pia kwenye ilani ya CCM hakkuna ahaddi ya Shibe au Mvua......Wapinzani wajikite kwenye hoja za Msingi zilizopo kwenye ilani ya CCM au pengine kwenye ilani zao_Otherwise tuhamasishane kupiga kazi tu.
Jingalao acha kumdhalilisha Rais na Taasis ya Urais bhana..CCMni zao la huruma na huduma linalotambua shida za wananchi wake. Hakuna Rais anayeahidi njaa wala janga Bali neema na faraja kwa watu wake. Vyakula vitagaiwa kwa sehemu itakayopata matatizo ya kweli ya njaa. Na njaa IPO kwa kila MTU lakini chakula ndio pungufu wa nashindwa kula. Pia njaa hailetwi na vyama vya upinzani ama kutangazwa maana tumbo ndio shahidi wa njaa sio wanasiasa
 
Ukweli ni mchungu siku zote.Siasa za majitaka ni mbaya sana,wapinzani mna kazi kubwa sana ya kuongelea shida za Taifa hili na njia mbadala ambazo ni endelevu.Hoja yangu iko wazi sana .......Ni kwamba kwenye kampeni za Magufuli na pia kwenye ilani ya CCM hakkuna ahaddi ya Shibe au Mvua......Wapinzani wajikite kwenye hoja za Msingi zilizopo kwenye ilani ya CCM au pengine kwenye ilani zao_Otherwise tuhamasishane kupiga kazi tu.
Akili utakuwa umezisahau mahali
 
Back
Top Bottom