Tuache siasa, Rais hajawahi kuahidi shibe!

Ukweli ni mchungu siku zote.Siasa za majitaka ni mbaya sana,wapinzani mna kazi kubwa sana ya kuongelea shida za Taifa hili na njia mbadala ambazo ni endelevu.Hoja yangu iko wazi sana .......Ni kwamba kwenye kampeni za Magufuli na pia kwenye ilani ya CCM hakkuna ahaddi ya Shibe au Mvua......Wapinzani wajikite kwenye hoja za Msingi zilizopo kwenye ilani ya CCM au pengine kwenye ilani zao_Otherwise tuhamasishane kupiga kazi tu.

Kwa hiyo kukitokea janga kama Tsunami utasema serikali haitahudumia wananchi kwa kuwa tsunami haipo kwenye ilani ya CCM. Jiongezeni kidogo mnapoandika. Hata kama akili ziko fyongo azima kwa jirani ili uandike kitu cha maana.
 
Pole.Umezoea kupata lishe kwa kutumia kulamba miguu Watawala, wenzako tuna kula jasho letu.Hata kama nikikaa masaa 24 hunilipi mshahara wala sitokuja kuomba mshahara punguani wewe.
UNGEKUWA UNAKULA JASHO LAKO TENA AWAMU HII ....hata usingekuja kulia lia huku........TATZO MNATUMIWA MNO NA UFIPA......
 
Ukweli ni mchungu siku zote.Siasa za majitaka ni mbaya sana,wapinzani mna kazi kubwa sana ya kuongelea shida za Taifa hili na njia mbadala ambazo ni endelevu.Hoja yangu iko wazi sana .......Ni kwamba kwenye kampeni za Magufuli na pia kwenye ilani ya CCM hakkuna ahaddi ya Shibe au Mvua......Wapinzani wajikite kwenye hoja za Msingi zilizopo kwenye ilani ya CCM au pengine kwenye ilani zao_Otherwise tuhamasishane kupiga kazi tu.

Hivi angewezaje kuahidi shibe/mvua wakati hana uwezo wa kuleta njaa au kuzuia mvua?
Hapa umeumiza kichwa na makalio kufikiri vitu vya namna hii?
Ndg, shibe na mvua ni neema, njaa na ukame ni majanga ambayo huletwa na asili. Tunaweza kukabiliana nayo lkn hatuwezi kuyazuia.
Serikali/chama kitachoahidi kuleta shibe/mvua ni kuonesha uwendawazimu kwa kiwango cha juu kabisa zaidi kile cha lami.
 
Ok ni kweli kwamba Ghala la Taifa halina chakula?Je ni kweli kwamba 2016 kaya zote Tanzania hazikuwa na chakula?
Kwa hiyo baadhi ya kaya zilikosa chakula.
Namshukuru Econometrician kwa kunukuu sera ya ccm ambayo wewe na mimi hatukuijua.
Kama uliijua, ulijitoa ufahamu ili kumfichia aibu Faru John anapopingana na ilani yenu
 
Ukweli ni mchungu siku zote.Siasa za majitaka ni mbaya sana,wapinzani mna kazi kubwa sana ya kuongelea shida za Taifa hili na njia mbadala ambazo ni endelevu.Hoja yangu iko wazi sana .......Ni kwamba kwenye kampeni za Magufuli na pia kwenye ilani ya CCM hakkuna ahaddi ya Shibe au Mvua......Wapinzani wajikite kwenye hoja za Msingi zilizopo kwenye ilani ya CCM au pengine kwenye ilani zao_Otherwise tuhamasishane kupiga kazi tu.

Hivi Jingaletu, kulinda raia na mali zao kwenu ina maana gani?
 
Ukweli ni mchungu siku zote.Siasa za majitaka ni mbaya sana,wapinzani mna kazi kubwa sana ya kuongelea shida za Taifa hili na njia mbadala ambazo ni endelevu.Hoja yangu iko wazi sana .......Ni kwamba kwenye kampeni za Magufuli na pia kwenye ilani ya CCM hakkuna ahaddi ya Shibe au Mvua......Wapinzani wajikite kwenye hoja za Msingi zilizopo kwenye ilani ya CCM au pengine kwenye ilani zao_Otherwise tuhamasishane kupiga kazi tu.

Mnaoishi kama mashetani mtaishi kama malaika!! Kuna umalaika bila kupewa chakula????
 
Ukweli ni mchungu siku zote.Siasa za majitaka ni mbaya sana,wapinzani mna kazi kubwa sana ya kuongelea shida za Taifa hili na njia mbadala ambazo ni endelevu.Hoja yangu iko wazi sana .......Ni kwamba kwenye kampeni za Magufuli na pia kwenye ilani ya CCM hakkuna ahaddi ya Shibe au Mvua......Wapinzani wajikite kwenye hoja za Msingi zilizopo kwenye ilani ya CCM au pengine kwenye ilani zao_Otherwise tuhamasishane kupiga kazi tu.
sasa kama wao wanakwenda kivingine si,muwaache,wananchi si wanaona wataamua
 
Haya,mil 50 kila kijiji ziko wapi?
Thubutuuu, wanazitolewa wapi labda hizo mil 50, mimi nachoamini mwanasiasa anachohitaji yeye ni kura yako tu. Hivo vi ahadi vingine vipo juu ya uwezo wao, inabid kuwasamehe. Omba uwe na afya njema tu ya kuweza kucharika kivyako vyako kujenga maisha yako.
 
Kipimo cha usahaulifu kwa watanzania ni pale bwana yule atakaomaliza miaka yake mi5 bila kutoa mil 50 kwa kila kijiji. Afu anagombea tena na kushinda japo wa nguvu za ziada.
 
Ahadi ipi alioiahd na kaitimiza? Elimu bure bila walimu ni sawa na kukimbia wakat huna break!
Elimu bure!? Shule ya msingi Bunge iliyo pale kando ya Ikulu, watoto wa darasa la saba wanatakiwa kulipa T shs. 30,000/ kwa mwezi, na kila siku kwenda na T shs 600/ kwa ajili ya kitu wanachoita maboresho....
 
Wewe sio mzima.

Ukweli ni mchungu siku zote.Siasa za majitaka ni mbaya sana,wapinzani mna kazi kubwa sana ya kuongelea shida za Taifa hili na njia mbadala ambazo ni endelevu.Hoja yangu iko wazi sana .......Ni kwamba kwenye kampeni za Magufuli na pia kwenye ilani ya CCM hakkuna ahaddi ya Shibe au Mvua......Wapinzani wajikite kwenye hoja za Msingi zilizopo kwenye ilani ya CCM au pengine kwenye ilani zao_Otherwise tuhamasishane kupiga kazi tu.
 
Hautoi ahadi ya shibe wala hauombi njaa ilikumbe taifa lako. Huu ndio ukweli. Sio siasa.
Ila sasa ukishaingia katika madaraka ukakutana na changamoto kama hizo, inabidi uzitatue.

Kama kuna njaa unapeleka chakula kinapotakiwa na wakati mwingine unaweka hifadhi ktk ghala za serikali.

Nadhani huu ndio utaratibu. Nadhani. Hili halina mambo ya vyama vya upinzani wala tawala.

Kama njaa ipo utaona hata ndugu zako wanalia njaa, ndipo utakapotambua kuwa hili suala ni kubwa kuliko uchambuzi wako wa kisiasa. KAMA NJAA IPO.

Nakubliana na wewe. Na naongeza kuuliza ile budget kubwa na idara ya maafa kazi yake ni nini? Inasubiri maafa ya namna gani ili ifanye kazi?
 
Ukweli ni mchungu siku zote.Siasa za majitaka ni mbaya sana,wapinzani mna kazi kubwa sana ya kuongelea shida za Taifa hili na njia mbadala ambazo ni endelevu.Hoja yangu iko wazi sana .......Ni kwamba kwenye kampeni za Magufuli na pia kwenye ilani ya CCM hakkuna ahaddi ya Shibe au Mvua......Wapinzani wajikite kwenye hoja za Msingi zilizopo kwenye ilani ya CCM au pengine kwenye ilani zao_Otherwise tuhamasishane kupiga kazi tu.
Mkuu unajiekewa kweli???
 
Back
Top Bottom