white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,894
Watanzania tumezoea kujipa moyo,hata kwa mambo ambayo yanaitaji mkakati mahususi ili kuyafikia,ila sisi hatufanyi 2kitegemea kudra za mwenyezi Mungu!kwa kiwango cha mpira ambacho stars waliuonyesha juzi na moroco ulikuwa mbovu sana,na bado tunawasifia eti walicheza mpira wa hali ya juu!Jamani mpira ni zaidi ya ujanja ujanja,ni maandalizi tena ya muda mrefu,sio michuoni inaanza kesho leo ndio mnaunda kamati za ushindi na ahadi kemkem!kwenye hesabu za kwenye karatasi stars inaweza kufunzu ila kwa uwanjani haiwezekani,na j2 kumfunga ivory coast ni ndoto,japo naweza kuonekana c mzalendo poa,bora iwe hivyo kuliko kupeana moyo hata kwenye mambo ambayo hayawezekani.Na ndio maana timu ye2 inakuwa kama england(timu ya vyombo vya habari)kwa mtazamo wangu naona tujiandae kwa world cup ya 2022,