tuache siasa hatuna uwezo wa kumfunga ivory coast.

Kiukweli kumfunga ivory cost ni ngumu lakini inawezekana maana mpira unadunda..

Lakini tuache siasa ukweli lazima usemwe TANZANIA UWEZO WA KWENDA WORLD CUP MWAKANI HATUNA..

Africa tunapewa nafasi 5 tu za kushiriki world cup ambazo ni chache sana ukilinganisha na nchi zilivyo nyingi,, so kama kushiriki mataifa africa nchi 16 tu hatuwezi,, je tutaweza chance ya nchi 5..

Unajua baada ya makundi kitachofata ni playoffs za winners wa kila kundi kutafuta watano wa mwisho wa kwenda world cup hapo ndio mchawi anapoanzwa kutafutwa maana unapigwa mpira mzito hadi unakaa chini.. Kama huna wachezaji wanaocheza team kubwa za kueleweka ulaya swala la kupata chance ya world cup hakunaga
 
Kocha mdhaifu, game na Moroko, hakukuwa na sababu ya kucheza 4-3-3, wakati anajua wale wako nyumbani sisi tulitakiwa kuimarisha viungo zaidi na kutumia 4-4-2. Nilishangaa kuchezesha washambuliaji 3? unamwacha Chuji nje kiungo mkabaji?

Kifupi hakuwa na strategy,
Kocha ana mapenzi na wachezaji wa Azam na Simba,inakuwaje wachezaji ambao hawajacheza karibu msimu mzima na bado anawapanga, hawana match fitness, matokeo ake ndo wanacheja faulo za kijinga tunapigiwa tuta.Aishi Manula hajacheza ligi bado anang'ang'aniwa!!!Kazimoto kashashuka kiwango,bado yumo..What a sturborn manager in Kim we have?Kocha mzuri lakini BADILIKA na nyakati mjomba!
 
Anayepima mechi fitness ni wewe au kocha? Watu kama nyie mmejaa ushabiki wa vilabu tu,. Mwacheni kocha afanye kazi yake.
 
Mwanafyale siyo kocha na je wewe ni kocha? Ni Tanzania peke unaweza kuitwa timu ya taifa wakati msimu mzima hujakanyaga uwanjani ( I mean hujachezea timu yako), kwa mwendo huu sitashangaa akimwita baba ubaya kuziba pengo la Aggrey.

Au unataka kutuambia kocha wa Azam hajui wachezaji, yeye Kim anawajua zaidi ha ha ha ha
 
Nakushukuru kwa kuliona hili.
 
Anayepima mechi fitness ni wewe au kocha? Watu kama nyie mmejaa ushabiki wa vilabu tu,. Mwacheni kocha afanye kazi yake.

Kocha anapima physical fitness ya mchezaji na match fitness inapimwa kwa mchezaji kucheza mechi za ushindani.Kumbuka kuwa soka nalijua dogo.
 
Kocha mdhaifu, game na Moroko, hakukuwa na sababu ya kucheza 4-3-3, wakati anajua wale wako nyumbani sisi tulitakiwa kuimarisha viungo zaidi na kutumia 4-4-2. Nilishangaa kuchezesha washambuliaji 3? unamwacha Chuji nje kiungo mkabaji?

Kifupi hakuwa na strategy,

Alikosea kumpanga Ngasaa kwenye first eleven alafu akacheza 4-3-3, kijana hajui namna ya kusaidia kukaba kule nyuma....
 
Utaitwa mhaini wewe.

Personally, ningefurahi kama tukiwafunga, lakini in reality jamaa wako mbali sana.

But anything can happen in football. Nonetheless, it will be one of the biggest upsets in African football kama tukiwafunga.

Badala ya kuwapa wachezaji too much pressure and expectations, let them go on the pitch and enjoy for themselves.

Let them play free bila kujihisi kuwa tumewatwika mzigo mkubwa ambao pengine hata hawastahili kuubeba.

Narudia tena
show them a whiff of money and you will see. Milioni mia mbili kila mchezaji tukifuzu. hapo usishangae watapiga mtu tano huku amesimama
 
Watanzania tumezoea kujipa moyo,hata kwa mambo ambayo yanaitaji mkakati mahususi ili kuyafikia,ila sisi hatufanyi 2kitegemea kudra za mwenyezi Mungu!kwa kiwango cha mpira ambacho stars waliuonyesha juzi na moroco ulikuwa mbovu sana,na bado tunawasifia eti walicheza mpira wa hali ya juu!Jamani mpira ni zaidi ya ujanja ujanja,ni maandalizi tena ya muda mrefu,sio michuoni inaanza kesho leo ndio mnaunda kamati za ushindi na ahadi kemkem!kwenye hesabu za kwenye karatasi stars inaweza kufunzu ila kwa uwanjani haiwezekani,na j2 kumfunga ivory coast ni ndoto,japo naweza kuonekana c mzalendo poa,bora iwe hivyo kuliko kupeana moyo hata kwenye mambo ambayo hayawezekani.Na ndio maana timu ye2 inakuwa kama england(timu ya vyombo vya habari)kwa mtazamo wangu naona tujiandae kwa world cup ya 2022,
Kaka naheshimu mawazo yako. Kila linapotokea jambo, watu uwa na mtizamo tofauti japokuwa jambo lenyewe ni ilo ilo moja. Hayo unayoyasema ni mawazo yako binafsi na haina maana kuwa ndio ukweli.
 
Watanzania tumezoea kujipa moyo,hata kwa mambo ambayo yanaitaji mkakati mahususi ili kuyafikia,ila sisi hatufanyi 2kitegemea kudra za mwenyezi Mungu!kwa kiwango cha mpira ambacho stars waliuonyesha juzi na moroco ulikuwa mbovu sana,na bado tunawasifia eti walicheza mpira wa hali ya juu!Jamani mpira ni zaidi ya ujanja ujanja,ni maandalizi tena ya muda mrefu,sio michuoni inaanza kesho leo ndio mnaunda kamati za ushindi na ahadi kemkem!kwenye hesabu za kwenye karatasi stars inaweza kufunzu ila kwa uwanjani haiwezekani,na j2 kumfunga ivory coast ni ndoto,japo naweza kuonekana c mzalendo poa,bora iwe hivyo kuliko kupeana moyo hata kwenye mambo ambayo hayawezekani.Na ndio maana timu ye2 inakuwa kama england(timu ya vyombo vya habari)kwa mtazamo wangu naona tujiandae kwa world cup ya 2022,

Ushindwe na ulegee!
 
Noted with thanx
 
Back
Top Bottom