Sio kuongelea tunaongelea kuhakikisha zinatengenezwa mdomo mtu yeyoteaweza kuchonga
Mbowe alikuwa haongelei barabara jimboni kwake lakini kutwa Alikuwa akienda wizara ya ujenzi kipindi Cha Magufuli akiwa waziri ili kumshawishi barabara jimboni kwake zijengwe zikajengwa Mdee Hakuna kitu
Kawe hawahitaji Hansard za bunge wanahitaji barabara usituletee Hansard za bunge barabara iko wapi?
Tunataka barabara sio makabrasha ya bunge.Hatukukutuma ukatuletee makabrasha ya bunge

Kama anaongea na hazitengenezwi inamaana mbunge husika hana ushawishi.
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Achilia mbali barabara kijana.
Huyo halima nilipewa taarifa zake majuzi na jamaa wa Dar kule boko basihaya kuwa hajawahi kukanyaga mtaa wao, ikizingatiwa asilimia kubwa mwenyekiti wa mtaa mpaka mbunge alikuwa chadema ila mbunge hainekani.
Jamaa anaendelea kudadavua, eneo lao wakati wa mvua maji yanajaa sana yakitokea wazo ila mpaka anakuja rais Kikwete (enzi hizo) kutatua na kuongea na wananchi mbunge aonekani.
Huyo mwenyekiti wenu ni wa juzi mkuu hata hakuwa na ndoto ya kuwa alipo.Umesahau Ile kauli ya Mwenyekiti...
Yale majimbo ya upinzani hatopeleka maendeleo.
Ile kauli Ni ya kibaguzi Sana.
Kama barabara za Kawe ni mbaya mchawi ni serikali ya CCM sio Halima Mdee. Kila mtu ahukumiwe kwa matendo yake.
Kama mbunge hajengi barabara miaka yote 10 alikuwa akifanya Nini bungeni? Kula posho na kulala? Huyu Ni out Ina maana hata akienda Tena atarudi na hadithi hizi hizi Mdee outKwa Nini khs barabara usimuulize waziri wa ujenzi ambaye Ni wa CCM...
Mbunge hajengi barabara na Hana Hilo fungu kwa ujenzi wa barabara...
Kama barabara za Kawe ni mbaya mchawi ni serikali ya CCM sio Halima Mdee. Kila mtu ahukumiwe kwa matendo yake.
Umesema yoteBARABARA YA MAKONGO CCM NDO WAKULAUMU
Barabara ya makongo iko kisiasa sana
Issue kubwa ilikuw ni fidia, na serikali ilikua hautaki kulipa fidia, sabab barabara nzima ilikuw inapita kwenye nyumba za watu tena wakubwa
Kipindi cha chaguzi za serikali ya mtaa, makonda alipeleka mkandarasi wa kisiasa, akachimbuw mwanzo hapa ardhi baada ya uchaguzi kupita, akatokomea
Kuna kipindi issue ya madai ya fidia, ilisababisha mpaka Serikali kutishia kuhamisha mradi upitie changanyiken, kumbe ilikua propaganda za kumwekea ndalichako lami mpaka nyumbani wake, ilipofika tu kwake, ikaishia hapo
Halima alichokua anasimamia siku zote ni watu wa makongo wapate haki yao, ya kulipwa fidia kutokana na mradi huo wa barabara
Kama barabara za Kawe ni mbaya mchawi ni serikali ya CCM sio Halima Mdee. Kila mtu ahukumiwe kwa matendo yake.