Majina mapya kwa taaluma zetu

Lamchina

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
240
0
Naona tuwaite watu kwa majina yao ya kitaalamu kutokana na ujuzi na kazi zao wanazozifanya kila siku. Hii itasaidia kungeza heshima na nidhamu mahala pa kazi kwa mfano:


*Shambaboi jina lake la heshima ni Landscape Executive and Animal Nutritionist.
*Resepshenisti ni Front Office Manager/Office Access Controler
*Taipisti ni Printed Document Handler
*Mesenja ni Business Communications Conveyer​
*Msafisha madirisha ni Transparent Wall Technician
*Mwalimu wa muda mfupi ni Associate Tutor
*Kijana Muuza chai ni Refreshments Manager
*Yule mkusanya takataka mtaani ni Environmental Sanitation Technician
*Mlinzi utamuita Theft Prevention and Surveillance Officer
*Wale dada poa wa Ohio jina lao ni Practical Sexual Relations Officer
*Mwizi anaitwa Wealth Distribution Officer
*Dereva ni Automobile Propulsion Specialist
*Dada wa kazi pale nyumbani si beki tatu, anaitwa Domestics Manager
*Mpishi ni Food Preparation Officer
*Mbea mpe heshima yake, yeye ni Research Manager.

Ongeza ya kwako unayoona itafaaaa
 

msapinungu

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
491
225
Nakuja ngoja niangalie bunge la budget kwanza.Ila ukumbuke kubadili jina kuendane na ongezeko la mshahara.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom