TTCL Ndukiii

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
Nimeona na kusikia matangazo ya kampuni hii kutupunguzia garama za unlimited internet kupitia ADSL au waya...that is a good attempt!!

wired internet service is the best ever...watu tunateseka na vimodem uchuro eti vina 3.75G while unabrowse under 3kbps...so fake!!!!!!!!

nakuhakikishieni TTCl jipangeni vizuri kuitangaza huduma hii kikiwa ni pa1 na kusambaza waya sehemu zisizo na huduma iyo....watu tulikimbilia wireless imetug.onga now wenyewe tunarud kwenye wired services...

even simu za mezani...zitarudi kwa kasi na hivi juzi tu nimetoka kuactivate yangu.nimechoka na hawa wezi wa hela na huduma mbovu...

TTCL nyie ndo kila kitu basi tu somewhere some rats wanawabana..lakini tunawakubali sana na huduma zenu.
boresheni customer care na mambo mengine kama ayo..pia msitucheleweshee connection...........

bei mpya ni hizi (unlimited kwa mwezi mzima)


  1. 256 kbps – NDUKI Bronze (30,000/-)
  2. 512 kbps – NDUKI Silver (60,000/-)
  3. 1Mbps – NDUKI Gold (100,000/-)
  4. Mbps – NDUKI Diamond (200,000

haya kazi kwenu
 
Nadhani 3.75G ni 3rd Generation technology with some 75 specs? Not internet speed. Hope wajuvi zaidi baelezee yeye.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom