ofisa
JF-Expert Member
- May 15, 2011
- 4,362
- 4,101
Mimi ni mdau wa mambo ya mawasiliano na nina tabia ya kupita pita huku na huku kupata chochote kile kinachonifaa. Niliona kama wamekuja tena upya nikanunua line yao nilichokiona naona wanachemka tena.
Kwanza line zao hukaa kwenye simu ya 4G tu tofauti na hapo haifanyi kazi. Pili pamoja na line kukaa kwa 4G pekee mitandao yao ikiwa chini ya 3G inakata network hata kama ni wao wenyewe ndio walioshusha kutoka 4G to 3G.
Tatu coverage yao ya 4G si maeneo mengi hivyo hukata mara kwa mara.
NNE ukinunua vocha kutoka sim banking haiji.
ILA OFFFER ZAO ZIKO VIZURI.