TTCL mnachemka tena, ila offer zenu nzuri

Kaka, speed yao ya 3G imekaaje? Nataka ninunue chip yao.

speed yao ya 3G kwa hapa nilipo sio nzuri ila ni nzuri zaidi ya Voda 3G!
Ukishaonja utamu wa 4G huo mtandao wa 3G unakua unaona kama konokono hivo huwa situmii kabisa!
 
saaana mkuu.halafu kinacho nishangaza TTCL ndo mtandao mama.asa wao kwa nini wasiwe bora zaidi kuliko hyo mingine?

kipimo chako cha ubora ni kipi?
kwa miezi michache ambayo jamaa wameingia sokoni wame make tofauti e.g Mtandao unaotoa Night pack nzuri ni Halotel tu na TTCL!
Speed yake ndo hatari zaidi....Labda watu ambao hawajui internet ndo wataiponda TTCL,Kwa hapa DSM speed ya Internet wanakimbizana Voda na TTCL nime test mitandao kama Smile na tigo na maeneo mengi hamna ambao unaweza kukupa 6MB/sec isipokua Vodacom na TTCL tu

Screenshot_4.png
 
View attachment 576705
Nipe vifurushi vya night pack ttcl
 
Nipe vifurushi vya night pack ttcl

kumbe comment yako ilopita ilikua Hewa kabisa,Mimi nilijua vifurushi vyao ushaviona na ushaviliganisha na mitandao mingine ukaona kwa heavy downloaders TTCL haifai!
Tuache hayo, hivi hapa chini kwenye picha pitia thread
18010482_10155262751857884_4871683166620321257_n.jpg
 
Nadhani hujui vizuri 2G 3G na 4G. TTCL baada ya kuanza na 3g kikamilifu wao wakakimbilia 4G ambayo watumiaji wake kwa sasahivi sidhani kama watafika 200 kila mkoa. Ukweli mtafute technical yeyote wa TTCL friendly atakupa ukweli. Wamechemka mbaya mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa subiri nieke sawa kidogo tuelewane..... ukiambiwa. Kitu kinatumia 4G.... mana yake ni kwamba kina uwezo wa kutumia 3G pia kina uwezo wa kutumia 2G... ni km speed ya gari ukiambiwa ina speed 140km/h mana yake ina uwezo pia wa kutembea speed ya 80km/h pia ina uwezo wa kutembea speed 20km/h.....
Walipochemka TTCL ni hapa kwamba network coverage yao almost (sehemu nyingi) ni moja km hupati network ya 4G huna mawasiliano huwezi kupata hata network ya 2G... Tofauti na mitandao mengine(km tigo ,zantel airtel , voda n.k) ambayo km sehemu network ndogo haiwezi kushika 3G au 4G lkn itashika japo 2G.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ttcl bado kuna changamoto sana hasa upande wa kuajiri people with brains...shirika la umma linaendeshwa kama kampuni ya familia... yaani kujazana watoto na wazazi wao ndio mtindo wao ndio maana ubunifu ni almost Zero maana w anapeana ajira kifamilia na siyo kwa sifa thabiti. Magufuli tupia jicho huko Ttcl...
 
speed yao ya 3G kwa hapa nilipo sio nzuri ila ni nzuri zaidi ya Voda 3G!
Ukishaonja utamu wa 4G huo mtandao wa 3G unakua unaona kama konokono hivo huwa situmii kabisa!
Ha ha ha ha mimi s5 yangu ina 3G, sijaona Option ya 4G. kwani ww upo Mkoa gani mpaka useme 3G sio nzuri sana?
 
kipimo chako cha ubora ni kipi?
kwa miezi michache ambayo jamaa wameingia sokoni wame make tofauti e.g Mtandao unaotoa Night pack nzuri ni Halotel tu na TTCL!
Speed yake ndo hatari zaidi....Labda watu ambao hawajui internet ndo wataiponda TTCL,Kwa hapa DSM speed ya Internet wanakimbizana Voda na TTCL nime test mitandao kama Smile na tigo na maeneo mengi hamna ambao unaweza kukupa 6MB/sec isipokua Vodacom na TTCL tu

View attachment 576705
Ha ha ha ha ha IDM si mchezo Kaka, hapo ni Voda au TTCL? Na ni 3G au 4G?
 
Hapa subiri nieke sawa kidogo tuelewane..... ukiambiwa. Kitu kinatumia 4G.... mana yake ni kwamba kina uwezo wa kutumia 3G pia kina uwezo wa kutumia 2G... ni km speed ya gari ukiambiwa ina speed 140km/h mana yake ina uwezo pia wa kutembea speed ya 80km/h pia ina uwezo wa kutembea speed 20km/h.....
Walipochemka TTCL ni hapa kwamba network coverage yao almost (sehemu nyingi) ni moja km hupati network ya 4G huna mawasiliano huwezi kupata hata network ya 2G... Tofauti na mitandao mengine(km tigo ,zantel airtel , voda n.k) ambayo km sehemu network ndogo haiwezi kushika 3G au 4G lkn itashika japo 2G.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mm nimekuelewa Mkuu, nataka kesho nikanunua hiyo laini kama sio kuchongesha. Naishi dar, je itaweza kuwa na mtandao?
 
Ha ha ha ha mimi s5 yangu ina 3G, sijaona Option ya 4G. kwani ww upo Mkoa gani mpaka useme 3G sio nzuri sana?

Nipo DSM sehemu napokaa pako congested kidogo nafikiri ndo sababu ya 3G kuwa chini sana!
 
Ttcl kwa sasa hamna kitu. Walianza vizuri ila sasa hovyo kabisa. Mtandao utaupata vizuri ukiwa uwanjani ila ukiingia ndani hamna kitu.

Wajipange upya aisee
 
Ttcl. Line yangu. Haiingizi SMS Wala kupiga. Wala haionyeshi salio. Shida i wapi jomoni
 
Back
Top Bottom