TTCL imeanza kubadilika

Nyaku

Member
Jan 7, 2014
65
35
Jamani TTCL wameanza kubadilika katika kutoa huduma, aisee wameboresha kitengo chao cha huduma kwa wateja.

Juzi kati nilipata tatizo nikaripoti ndani ya muda walikuwa wameishafika ofisini tofauti na zamani duuu! Hapo ningelia tu.

Vilio vyetu wameishaanza kuvisikia. Kama una tatizo we jaribu ucheki

Bravooooooo,
 
  • Thanks
Reactions: aye
Hata Leo nimewaona mitaa ya Morocco pale ilipo Airtel wakitangaza biashara na mabango barabarani ile mpya ya 4g lite na warembo
 
Daah safi sana angalau vijana wetu watapata kazi kwenye kampuni ya kizalendo tuachane na wa-vietnam wanaolipa vijana 300,000/= (Gross)
 
hawa TTCL wakijipanga vizuri wanaweza kufanya maajabu katika soko la mawasiliano, ila wanakazi ngumu sana hasa katika upande wa marketing
 
  • Thanks
Reactions: aye
Ni kweli kabisa kuwa TTCL imeanza ku change.
Naona matangazo kwenye media, mabango mitaani, coverage nyingi na hata duka lao la mjini mtaa wa Samora linakarabatiwa.
Pengine tamko la Waziri la majuzi kuhusu kuwatimua Airtel ni mwanzo, mengine yanafuata.
Bora iwe hivi aisee, chombo cha umma kilikuwa kimepoteza dira.
 
Mi nilishawasahau. Kwanza wengi wanaotumia ttcl ni makampuni na serikalini kwa land line.
Ebu nijuzeni jaman, hiv ttcl wana simu za mkononi kwa sasa? Maana miaka ya nyuma walikuanazo cjui leo.
 
Jamani TTCL wameanza kubadilika katika kutoa huduma, aisee wameboresha kitengo chao cha huduma kwa wateja.

Juzi kati nilipata tatizo nikaripoti ndani ya muda walikuwa wameishafika ofisini tofauti na zamani duuu! Hapo ningelia tu.

Vilio vyetu wameishaanza kuvisikia. Kama una tatizo we jaribu ucheki

Bravooooooo,
nenda tanesco ujionee balaa
 
Nina Imani kuwa JPM ataisaidia TTCL kurejea katika heshima yake. Hujuma zimeifanya kamopuni hii kuwa Yatima. Watanzania tuoneshe uzalendo, tuipe nafasi kampuni yetu ya kizalendo ituhudumie, tununue products zao. Swali langu ni madeni, nasikia wanadai mabilioni kwa taasisi za Umma(Serikali). Je TTCL mna ubavu wa kukusanya hela zenu kutoka kwa Baba yenu Serikali na Wizara zake, na Mashirika yake? All in all, kila la kheri. Kale kawimbo cha Prrrr ttcl, simu kwa maendeleo kapo?
 
Back
Top Bottom