bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,444
ttcl nao wana shida kubwa ya ajira za kujuana! hilo ndio tatizo kubwa la taasis za serikaliDaah safi sana angalau vijana wetu watapata kazi kwenye kampuni ya kizalendo tuachane na wa-vietnam wanaolipa vijana 300,000/= (Gross)