Ttcl Free unlimited Internet

Ttcl Free unlimited Internet

Ngalewa

Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
97
Reaction score
11
Wadau napenda kushare nanyi kuna jama yangu ana modem ya ttcl na anajiunga kifurushi cha mia tano cha mb 100 ila kinakaa siku mbili na ni unlimited. Kwa maelezo yake kuna engineer wa ttcl aliingiza code katika hiyo modem ndio ikawa hivyo sasa juzi nikanunua modemyangu mpya na kujiunga hcho kifurushi ila kilikata mapema sana. Sasa kama kunaanaefahamu ujanja huo naomba atupie hapa.

ttcl.JPG
 
Kwa hiyo wewe Engineer wa ttcl hakukuwekea hiyo code?Labda ndiyo maana ikawahi kukata. Nakushauri uongee vizuri na huyo jamaa yako akufafanulie vizuri,ni kitu gani hasa walimfanyia kwenye modem yake.Othewise,siku hizi ni vigumu sana kuwachakachua hawa jama,sio kama zamani.
 
Mkuu, sijalielewa swali lako. Kama unapewa kabisa 100mb, haziwezi kuwa unlimited tena.
 
Unahangaika na ttcl bure wakati kuna ma pdproxy na tunnelguru.
 
Pdproxy ninayo ila hapa chuo ipo slow sana tofauti na mwanzo kabla chuo watu hawajarudi wengi sasa hvi ovyo tu
 
Hilo bundle lao la 100mb kwajama linakaa siku mbili bila kukata hata adownload vip ila kwangu linakaa dakika chache 100mb zikiisha ina disconect sasa kuna engineer wa ttcl alichakachua modem ya huyo mwenzangu sasa nimeuliza kama kuna anaefahamu hayo mambo humu ndani.
 
Dah! Kaka unataka mtu akuchakachulie na ama akuelekeze namna ya kuchakachua moderm yako ya TTCL tena hapa hadharani? Najua hali ya maisha ni ngumu na huwezi kusoma bila uhakika wa internet. Lakini kwa hili, its too much!
 
Back
Top Bottom