Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
Habari JF,
Well mimi ni mteja wa ttcl internet broadband. All i can say nimelipa package ya unlimited ya 3 months for my home use.....ni week ya 3 sasa sijapata internet ya kueleweka from these people. Internet inakuja baada ya dk 2 au 3 inakata kama mchezo wa kitoto yan...all the time day and night. I hardly surf or do anything na hela nimeshawapatia. Nashindwa kuelewa ni utapeli, huduma mbovu au ni makusudi. Nimevumilia na ku report tatizo naona hamna kinachofanyika !! Wadau kama kuna mtu anafahamu internet providers wakueleweka anijuze...maana hii biashara ya uchwara na hawa watu siiwezi. Its a complete shame.
Thanks in advance.