Tsd ina majukumu gani?

segwanga

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
2,788
729
Heshma kwenu jf.
Nimetolewa jasho na kitu kinachoitwa TSD mwenye kujua majukumu ya hii Teachers Service Department (TSD) anipe habari maana nimeambiwa nisipojua majukumu yake eti spewi TSD namba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom