Try Again umewashindwa Yanga! Pumzika kaka

Try Again umewashindwa Yanga! Pumzika kaka

Kwani hilo jina ni lake au ?maana naona hana wazo la kuachia ngazi kabisa kwa maana karuhusiwa kijaribu kila muda
 
Tumesajili wachezaji ovyo kwa mtindo ule ule! Viongozi hawa tumewavumilia mno! Waondoke tuunde timu upya! Hatuwezi kufanywa wateja na Yanga mfululizo kipumbavu!
Tunaoumia ni sisi mashabiki
 
Shida yenu mmejaa ranking, ulozi, uchawi, husda, mnafikiria kiongozi ndo anaweza ifunga timu Fulani, mpira ni professional na si maneno yenu, katika mpira kuna matokeo matatu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom