Left back-gunner
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 572
- 234
sio suala la kua vilaza ila watu waliokaa kusubiri amri yoyote ije watekele...mimi kwa sasa siwaamini viongozi wa Tanzania
Unajua nn mpendwa, huu ugonjwa ni porojo tu...swali kama kweli upo huko west africa kwanini wapeleke wanajeshi wa kutosha wenye zana za kivita nzito badala ya kupeleka madaktari wengi? Pia congo ilikuwepo ebola then ikaondoka....je sababu iliyofanya ebola izaliwe congo na pia ife huko huko congo ni ipi? God bless Africa, God save Africa...
ninacho fahamu wanashi hutuma popote kwene majanga ,kwa ajili ya utiifu wao,sumeona kuna nchi mojawapo wauguzi wameishia kugoma, na kwenye nukta ya kuingiza watu Cuba imepeleka watu kwa mamia na tunajua fika Cuba si mshirika wa Obama wala Bwana Ushoga na hana hulka za kivamizi!Unajua nn mpendwa, huu ugonjwa ni porojo tu...swali kama kweli upo huko west africa kwanini wapeleke wanajeshi wa kutosha wenye zana za kivita nzito badala ya kupeleka madaktari wengi? Pia congo ilikuwepo ebola then ikaondoka....je sababu iliyofanya ebola izaliwe congo na pia ife huko huko congo ni ipi? God bless Africa, God save Africa...
hawa wanaosomea watu albadir wakadhurika, hebu wasomewe hawa wamarekani manake wamezidi
Hahahaa until the philosophy which holds one race supervisor and another inferior is totally destroyed.
And this will only be achieved by Africans themselves get united and be as one.
Waafrika ni vilaza wakutupwa na hii kitu itatugharimu maisha yetu yote.
We jiulize kwa mfano eti vyandarua vya msaada vimewekewa dawa inayofanya kazi 5 consecutive years pamoja na kufuliwa kwake halafu eti haina madhara kwa mtu anayelala humo kila siku.Are you mad?
Hivi mna akili kweli nyinyi?
Halafu wanalengwa wajawazito na watoto under 5,hapa lazima Kuna kitu kiko-targeted na ni miongo kadhaa ijayo tutaona outcomes zake.
'Mzungu wa kumwamini ni aliyekufa tu' --Mugabe.
Yes it was crystal. All you have to do is look into epidemiology, diseases& their history. Viruses don't jump species that way. Aids/ Ebola/CMV/EBV &many other viruses which are the precursors &/or cause of many cancers was discovered/created in government labs while trying to create biological weapons back in the 50's, 60's& 70's. Look up Leonard Horowitz or Dr. Nancy Turner Banks. They have written well documented books which contain the contracts& other documents that prove it.
Kenya wao wamekataa Chanjo kwa akina Mama (Catholic Church ya Kenya ndio wamegundua huu upuuzi) as a weapon ya kupunguza "population "
Nashangaa...najiuliza...ikiwa waMarekani wanataka kupunguza 'population' Africa, kwa nini watumie Ebola wakati wanatumia mabilioni ya madola Africa kupunguza vifo vya watoto, vifo vya kina mama vinavyotokana na uzazi, vifo vinavyotokana na Malaria Ukimwi na TB!? Si wangeacha tu wafe maana idadi ya vifo wanavyosaidia kuviepusha ni vingi kuliko vya Ebola. Kwa nini waingie gharama nyingine kulipua Ebola ili kuua watu ambao wanakufa tayari na wao wanatoa mahela kibao kuokoa wasife!? Hizi ni propaganda za kipuuzi kabisa na hazitusaidii hata kidogo...