Truth about Ebola

Truth about Ebola

Washawasha,mimi niko tayari kwa aliye tayari kama wewe kujadiliana/kubadilishana uelewa,napenda pia kupata uelewa kutoka kwa wengine kama wewe ndio maana niko humu kwa kuwa baada ya kuangali post nyingi nimeona humu kuna watu wanajua mambo mengi ambayo nilikua siyafahamu.Unaweza kuuliza pale unapotaka kufahamu then nitajaribu kukueleza kwa kadiri ninavyoweza.Thanks.
Nashukuru sana mkuu kwa moyo wako huu.
Nalog off
 
.....
-Nani anujua kwamba bangi ni tiba safi kabisa ya kansa,kisukari na magonjwa mengi sugu?Tumefichwa.
-Nani anajua kwamba bangi ni source of energy/fuel or free energy?Tumefichwa......
Aisee....Mkuu ebu fafanua hapa ili na mimi nijari UNLEARN.
 
Hadi hivi sasa kuna mzungu amefariki kwa Ebola? Nataka kujua.
 
Aisee....Mkuu ebu fafanua hapa ili na mimi nijari UNLEARN.
Medical MarijuanaBy Anne Harding
WebMD Feature
Reviewed by Arefa Cassoobhoy, MD, MPH
More states are passing laws that allow people to use medical marijuana. So what does it treat, and who can and should use it?
Painis the main reason people ask for a prescription, says Barth Wilsey, MD, a pain medicine specialist at the University of California Davis Medical Center. It could be from headaches, a disease like cancer, or a long-term condition, like glaucomaor nerve pain.
Recommended Related to Pain Management
Acetaminophen Safety: FAQ
An FDA advisory committee recently recommended that the FDA set certain limits on acetaminophen, a drug that is used in many prescription and nonprescription medicines to relieve pain and reduce fever. Those limits could include taking off the market some prescription drugs, such as the painkillers Percocet and Vicodin, which combine acetaminophen with other active ingredients. The reason for the proposed limits is the risk of liver damage from taking too much acetaminophen. That...
Read the Acetaminophen Safety: FAQ article > >
If you live in a state where medical marijuana is legal and your doctor thinks it would help, you’ll get a “marijuana card.” You will be put on a list that allows you to buy marijuana from an authorized seller, called a dispensary.
Doctors also may prescribe medical marijuana to treat:
*.Muscle spasms caused by multiple sclerosis
*.Nausea from cancer chemotherapy
*.Poor appetite and weight loss caused by chronic illness, such as HIV, or nerve pain
*.Seizure disorders
*.Crohn's disease
The FDA has also approved THC, a key ingredient in marijuana, to treat nausea and improve appetite. It's available by prescription Marinol( dronabinol) and Cesamet( nabilone).
How Does It Work?
Your body already makes marijuana-like chemicals that affect pain, inflammation, and many other processes. Marijuana can sometimes help those natural chemicals work better, says Laura Borgelt, PharmD, of the University of Colorado.
How Is It Used?
Medical marijuana may be:
*.Smoked
*.Vaporized (heated until active ingredients are released, but no smoke is formed)
*.Eaten (usually in the form of cookies or candy)
*.Taken as a liquid extract
 
NWO ndani ya nyumba.huu mbona ni mwanzo tuu...lets expext for the worst..but kumbuka Mungu wetu ni mwema na hataacha kutupigania.be blessed!
 
Thanks for goodiformation.kuanzia leo wacha kupeleka watoto wetu kupata chanjo kwa sababu magonjwa haya ndo yanapitia humu kwetu wilaya ya tunduru mkoani ruvuma ishafika chanjo na watoto wa shule ya msingi washachoma tare 19/10/2014 i think this is ebola illness.
 
[Aisee....Mkuu ebu fafanua hapa ili na mimi nijari UNLEARN.]

You are welcome to the world of knowledge,I bet baada ya kufahamu nitakachokupa utashangaa na utajilaumu kwa nini hukujua mapema.

-Kuhusu bangi kutibu magonjwa na hasa niliyoeleza kama cancer,diabetes angalia link hii upande wa kulia wa page utaona list ya magonjwa yakiwemo cancer,diabetes,zama kwenye ugonjwa unaotaka kujua.
Link: http://www.projectcbd.org/
AU pia fuatilia kwenye youtube HEMP OIL CANCER CURE

-Angalia documentary hii kwenye youtube ujue ni sababu zipi zimefanya bangi iitwe haramu halafu wewe jiridhishe kama kweli inastahili kuitwa haramu.
Link: True History of Marijuana Full Movie - YouTube
AU andika kwenye youtube True History of Marijuana Full Movie

Hivi vitu sio ndoto wala muujiza,ni real ila wengi tulikuwa hatujawahi kuvisikia,sasa ni wale watakaoshindana na uvivu wa kusoma/kufuatilia haya ndio watakaojikomboa.

Note:American Cancer Institute will not tell you this for they have been in this game for cancer research since 1890's without finding a cure,real?more than 100 years without finding a cure?Where is Sloan Kattering?Where is Nixon War against cancer(1971)?Where is Obama War against cancer(2009)?BULLSHIT!!
And they will tell you that cannabis is psychoactive when you smoke it,another BULLSHIT,anything if you misuse has side effect.This is nature,we have been designed to consume herbs/water for our survival for we are composed by those.
You know how tremendously explosive hydrogen is?That is why we have hydrogen bombs.Again, you know how powerful Oxygen is to support combustion?What do you expect when you mix them together?Oooh my God!!
Very huge explosion!!!Right?WRONG!!!Infact we get water H2O which we drink always and use it as fire extinguisher ,no explosion to our bodies,that is NATURE and how it works.Again,If you want explosion from water you can get it by simple mechanism,and that is why we had water powered car but the discoverer was assasinated,you get connection?
 
Nashangaa...najiuliza...ikiwa waMarekani wanataka kupunguza 'population' Africa, kwa nini watumie Ebola wakati wanatumia mabilioni ya madola Africa kupunguza vifo vya watoto, vifo vya kina mama vinavyotokana na uzazi, vifo vinavyotokana na Malaria Ukimwi na TB!? Si wangeacha tu wafe maana idadi ya vifo wanavyosaidia kuviepusha ni vingi kuliko vya Ebola. Kwa nini waingie gharama nyingine kulipua Ebola ili kuua watu ambao wanakufa tayari na wao wanatoa mahela kibao kuokoa wasife!? Hizi ni propaganda za kipuuzi kabisa na hazitusaidii hata kidogo...

"Whatever maybe done to guard against interruptions of supply and to develop domestic alternatives,the U.S economy will require large and increasing amounts of minerals from abroad,especially from less developed countries.

That fact gives the U.S enhanced interest in the political,economic and social stability of the supplying countries.

WHEREVER A LESSENING OF POPULATION PRESSURES THROUGH REDUCED BIRTH RATES CAN INCREASE THE PROSPECTS FOR SUCH STABILITY,POPULATION POLICY BECOMES RELEVANT TO RESOURCE SUPPLIES AND TO THE ECONOMIC INTERESTS OF THE UNITED STATES"

Hiyo ni sehemu ya report ya Henry Kissinger ya April 24,1974 inayojulikana kama "National Security Study Memorandum 200(NSSM 200).
Hayo maneno yapo ukurasa wa 42(in PDF format document) katika chapter 3 inayohusu minerals ambayo inaanzia uk wa 40 hadi 49.
Kwa kiasi kikubwa ilikuja kuwa adopted na White House kama msingi wa foreign policy ya U.S

Bila shaka unaelewa Kissinger ni nani katika siasa za U.S na aliandika report hii akiwa na capacity gani wakati huo.

Population increase katika third world countries inachukuliwa kama "national security threat" kwa U.S ambayo uchumi wake unategemea kukua kwa kuzinyonya nchi hizi.

Ingia google udownload hii document ya siri ambayo imekuwa declassified na White House kwa sasa,udownload pdf format,au kama hilo nalo ni reefu basi niwaombe akina Nyamgluu wailete hapa hiyo doc.

Au labda D 007 unge-attach hiyo document na thread yako ili akina riwa waone ulinganifu wa hizo claims za waafrika wenzetu na formal documents za U.S foreign policy makers.

Labda itasaidia kuondoa dhana ya "conspiracy theory" ambayo tumejengewa kuamini kuwa hazina ukweli wowote kwa vile tu ziko negative na "taarifa rasmi" za serikali zetu,tusitambue kuwa pia kuna "taarifa rasmi za siri" ambazo hautaziona CNN wala TBC1.
 
Last edited by a moderator:
Dah mkuu juve2012
Ngoja niwape hii link wana JF wengine waliokua hawatambui. Huyo mkuu hapo kaniomba nisim address, I think I touched a raw nerve and came too hard on him so nitaheshimu ombi lake.

Ila utashangaa bado watu watabisha.
Washawasha elimu ingine nzito hio hapo ndugu. Ukijua mjulishe na mwenzako. Ripoti leo zinasema Sierra Leone wanakusanya miili 70 mpaka 100 KWA SIKU!!
Ila wauguzi wa kizungu wao wanapona miraculously! Kama bado tungekua na miungu yetu ya kiafrika nafikiri tungeenda omba itusaidie kipindi hichi, lakini na hivyo tulishaidharau na hatujui pa kuanzia, ah wacha tuangamie tu.
 
Last edited by a moderator:
hahah..thibitisha kwamba ebola virus is man made....acha kelele..

Unadhani wana ubavu wa kuthibitisha basi....?

Wajinga wajinga tu hao. Wanaokoteza hiyo mi conspiracy theories huko kwenye mtandao na kuileta humu halafu wanataka wote tuunge tela tukubaliane nao.

Ain't nonody got time for that claptrap.
 
Kwa wale wanaopenda kupata full text ya hiyo memorandum kutoka "mainstream media" ambazo wanaona ndio reliable zaidi waingie wikipedia,waandike "national Security study memorandum 200",wacheki chini ya habari kunatolewa sources,both governmental na non governmental.
 
Back
Top Bottom