Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,066
Unajua nn mpendwa, huu ugonjwa ni porojo tu...swali kama kweli upo huko west africa kwanini wapeleke wanajeshi wa kutosha wenye zana za kivita nzito badala ya kupeleka madaktari wengi? Pia congo ilikuwepo ebola then ikaondoka....je sababu iliyofanya ebola izaliwe congo na pia ife huko huko congo ni ipi? God bless Africa, God save Africa...
hili swali hata mie nilijiuliza, kwa nini wanapelekwa wanajeshi badala ya watumishi wa afya??
ebola ipo lakini ndugu yangu