Trust no one, hakuna rafiki. Waswahili wanafiki sana

Trust no one, hakuna rafiki. Waswahili wanafiki sana

Hata uishi nao vipi kuna watu wana roho mbaya sana.

Kuna watu wanatamani kuona unateseka.

Kuna watu wanapenda kuona unadhalilika na hapo ujawakosea chochote.

Kina watu mafanikio yako yanawauma sana na haujafanya chichote.

Wanatamani uwe chizi utokwe na midenda.

Wanatamani kukuroge....
Usimwamini mtu, hakuna rafiki fanya maisha yako.

Ishi hivo....

Midekoo
Ridhiki mwanzo wa Chuki.....

Nomadix
Rafiki yako ni wewe mwenyewe tu.

Satan
Heri ukaishi porini ucheze na ndege kuliko kucheza na wanafki.

Kuna watu hupenda kuona wenzao wanaishi vile watakayo.

Chujio
Kifupi usiwe zuzu kuamini kila la kuambiwa na kusemasema ovyo pia kwa watu

Kasie
Kuna waliosema, fadhila mfadhili mbuzi utamla mchuzi, binadamu anamaudhi....

ndege JOHN
Heri ukaishi porini ucheze na ndege kuliko kucheza na wanafki.
Uko sahihi 200%
 
Daah yaani ukishaarchive mafanikio Fulani utaaanza kuona watu baadhi ya uliowaita marafikii wanakuwa kama hawaongei na wewe Fulani hivi yani kama wanakutenga Fulani hiviii
Marafiki wanafiki an..
Just imagine mtu mmeanza wote kutafuta ila yeye anafanya ujinga ujinga alafu anataka wote muwe the same
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom