Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #121
ni kweli rafiki huwa una mwisho...hahahahaha haya ndio mambo ya kusikia jina la yule motto nisiyempenda yaani ukiuliza tu utaambiwa sijui mama. Na kweli ukimkazia macho na kuonyesha msimamo utaambiwa ni kweli mama nimesema uongo hapo itabidi ianze risala tena. Naamini uongo wa kitoto huwa una mwisho sababu wanaogopa sana kuchapwa ndio maana wanasema uongo. Na wakati mwingine hawapendi ujisikie vibaya
mi naomba unifundishe hapa maneno ya kusema....
yaani mf nimekutana na x njiani, tunapishana fulani hivi, sababu tunafahamiana tunasalimiana then kila mtu anaenda na hamsini zake. nikifika home naanzaje kusimulia hiyo hadithi? mbona simhadithii habari za watu wote niliokutana nao siku nzima njiani ambao anawafahamu? Kongosho naomba mwongozo kwa hili, naanzaje kuisimulia? I am serious
Unajua mie tatizo linaanza pale mtu anapokuwa na wasi wasi wa kusema
Kama ulikutana naye benki kwa bahati, na wewe uliporudi wala hukumbuki sina tatizo
Ila kama unaficha kwa makusudi hapo tatizo linakuwepo
Nilishasema sisemi uongo usio na tija, maana nikikudanganya ni sign kwamba nakuogopa; so kama kungekuwa na uwezekano wa kumdanganya Mungu (ninayemuogopa) huenda ningefanya hivyo lakini there is now way naweza mdanganya yeye anijuaye kuliko ninavyojijua mwenyewe.
Hivyo sioni na sitakaa kuona umuhimu wa uongo uso na faida. halafu kwenye mahusiano, mimi naamini ni vyema mtu akujue tangia mapema udhaifu na mapungufu yako ili afanye informed decision lakini pia inakusaidia wewe usiishi maisha ya kupretend.
hapo kwenye kupanga kuonana ningependa sana niambiwe kabla hawajakutana kuliko baada.Kama wamekutana bila kupanga sitaumia
Nilidhani wamekusudia kuonana, hata kama walikusudia kuonana kwa sababu muafaka, bora tu nijue
Ile kuficha itanifanya nianze kuwa na maswali
Au umemuona ex wako anapanda daladala la Makumbusho - Bagamoyo wakati unaelekea pale CRDB kuchukua hela kwenye ATM.
Hii nayo lazima uiripoti kwa habibi wako? 'Habibi leo wakati navuka barabara kwenda pale benki CRDB Makumbusho karibu na kituo cha mabasi nimemuona ex wangu akipanda daladala' :becky:
mi naomba unifundishe hapa maneno ya kusema....
yaani mf nimekutana na x njiani, tunapishana fulani hivi, sababu tunafahamiana tunasalimiana then kila mtu anaenda na hamsini zake. nikifika home naanzaje kusimulia hiyo hadithi? mbona simhadithii habari za watu wote niliokutana nao siku nzima njiani ambao anawafahamu? Kongosho naomba mwongozo kwa hili, naanzaje kuisimulia? I am serious
ha haaa, ntakutimua kabla hujamalizia sentensi, lol!Au umemuona ex wako anapanda daladala la Makumbusho - Bagamoyo wakati unaelekea pale CRDB kuchukua hela kwenye ATM.
Hii nayo lazima uiripoti kwa habibi wako? 'Habibi leo wakati navuka barabara kwenda pale benki CRDB Makumbusho karibu na kituo cha mabasi nimemuona ex wangu akipanda daladala' :becky:
Yaani tuseme yeye wakati anaingia benki mimi ndo namalizana na bank teller - tuseme pale NBC Mlimani.
Aliponiona akanipungia mkono na mimi nikampa head nod halafu huyo nikasepa zangu (bila hata kuongeleshana).
Ina maana nikirudi nyumbani ni lazima niripoti kwako kwamba nimeonana na ex wakati niko benki?
That to me is very petty. Na sioni umuhimu wala ulazima wa kukumbuka kuja kukwambia. Na hata ukiniuliza nitakwambia ndiyo kwa sababu hakuna baya nililotenda na hivyo hakuna la kuficha na sikuona umuhimu wala ulazima wa kukwambia kwa sababu tumekutana/kuonana kama vile ambavyo nimekutana/nimeonana na wateja wengine waliokuwemo benki kwa wakati huo.
ha haaa, hiyo verse sijui nimeielewa? lol!Ujue FP, kinachosumbua kwanza ni dhamira
Je, umedhamiria kuficha ama ni kitu ambacho hujakipa umuhimi wowote? Kama kweli k=hukukipa umuhimu wowote sawa, ila kama umeficha kwa kusudi mie nitakuwa na tatizo.
Ulishawahi sikia kuwa wapenzi 'talks about everything and nothing'?
Kama hukumbuki ukifika nyumbani, manake halimo kabisa akili mwako. Kwa hiyo hulazimiki kuhadithia
Ila kama lipo kichwani mwako na huhadithii hilo ndo ninapoliona tatizo
Nina rafiki yangu nampenda sana . Huyo akikwabia yuko njiani anakuja basi wewe tafuta kitu kingine ufanye maana huenda anakuambia hivyo bado yuko kitandani. Sasa kama mmepanga kwenda mahala flani lazima akucheleweshe na mpaka hamu ya safari itaisha. Lkn kwa vile nilishamjua hanipi shida naendelea kumpenda na kumvumilia. Unajua kila mtu ana mapungufu yake na mara nyingi mapungufu haya hufunikwa na mema mengi. Huyu rafiki yangu ni mtu mwema sana na ni zaidi ya ndugu.ha haaa, huyo shosti kabobea kwa kamba? maana mashosti wengine ni wazuri kwenye hizo anga! mpaka unachoka kuwasikiliza yaani
ha haaa, kweli dhamira itanisuta kama tulisubiriana, lakini kama tulikutana kwa bahati mbaya........
hapo sasa ndo nitamwambia kuwa tulikutana kwenye daladala
then unatakiwa kuwa muongo uliyepindukia, maana baada ya uongo wa kwanza kuna wa pili......... ili kuokoa mahusiano yasivunjike
Lakini kuna wakati UONGO huokoa mahusiano yasivunjike!!!
Ha ha ha ha ha, jamani!
ha haaa, hiyo verse sijui nimeielewa? lol!
yes, dhamira inahusu hapa.
naweza nikawa nakumbuka kabisa lakini siyo kwa feelings.... yaani ni kama ambavyo nimepita mtaani nikakutana na Jane na jioni nakumbuka kuwa nilikutana na Jane lakini siyo muhimu kumwadithia hubby kuwa leo nilikutana na Jane, after all Jane is just a person. sasa iweje nimwadithie kuwa nilikutana na Ali wakati kwa sababu zile zile za kutokumwadithia kukutana kwangu na Jane zina-apply hapa?Kama hukumbuki ukifika nyumbani, manake halimo kabisa akili mwako. Kwa hiyo hulazimiki kuhadithia
Ila kama lipo kichwani mwako na huhadithii hilo ndo ninapoliona tatizo
Jamani, tunasema kuonana nilidhani tunamaanisha watu kukutana na kuongea mawili matatu
Hii ya kukutana bank na kupungia sio kitu
Yaani umenichekesha sana na umenikumbusha habari ya nyumbani kwangu yaani mtot anakudanganya mpaka unajiuliza walinibadilishia nini nilipojifungua unatamani sijui hata umfanye nini tu. Kwangu mimi hii issue ya kupiga mswaki huyu wa mwisho bwana anaoga vizuri , sasa muulize je umepiga mswaki atasema ndio mama . Huwa namwita ili nimkague nakuta amenidanganya basi utamsomea hapo risala lkn akisahau anarudia tena sasa siku hizi kuna mkakati nimemuwekea akisema uongo tu hakuna kwenda kucheza. Naamini akikua ataacha nae ana mazuri yake mengi sana kiasi kwamba nampenda sana.ni kweli rafiki huwa una mwisho...
halafu watoto wana stage, mwanzo wanakuwa honest sana, yaani ukitaka stori za home wewe kamata mtoto atakuhadithia kila kitu..... a
akikua kidogo yaani unaweza tamani kulia kwa uongo, anadanganya mpaka unashangaa huyu mtoto katokea wapi.
baadae akiacha ndo basi tena