MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,586
na hilo siyo kosa. unaweza kuamua umwambie au usimwambie maana mmebambana tu wala hukuwa na dhamira ya kukutana naye
na hilo siyo kosa. unaweza kuamua umwambie au usimwambie maana mmebambana tu wala hukuwa na dhamira ya kukutana naye
leo nakoroma kama gari lilikata muffler.ha haaa, nina masalamu yako mengiiiiiii, kuyapata ni mpaka uni-call, lol!
bribe hizi zitaisha kweli?
hivi gfsonwin sauti imepona? maana the big day si ndo kesho? tunakuombea mwaya
ha haa, binamu huo uongo wa majanga hata mimi nimesema naukubali, kwenye majanga there is no way utasema ukweli, utaonekana mwehu ukisema ukweli
FP unajua hili lote linatokana na suala uliloliweka la TRUST. Kama unamwambini mwenzio, akikwambia anakwenda saluni, basi AMINI kuwa anakwenda saluni.
Ukianza kuuliza ni saluni gani ulikwenda, salunist gani alikuattend, ni Papaa au mswetiee unaanza kuandaa mazingira ya kutokuaminiana na hasa pale ambapo ukiambiwa ukweli wewe unatengeneza ukweli wako mwenyewe basi unaharibu zaidi.
Mf. Nimekwambia leo nimekutana na Ex-(Hapa nakwambia genuinely kabisa ukizingatia tulishamzungumzia).
ha haaa, kweli dhamira itanisuta kama tulisubiriana, lakini kama tulikutana kwa bahati mbaya........Yes unaweza usimwambie but akaambiwa na vishongondombiu, ukajikuta tu jioni waulizwa flani hajambo? kumbe siku hizi mwasubiriana kwenye daladala............ unabaki mdomo wazi!
hilo ni haswa mimi pia ningefanya, kama tumekutana tu bila kupanga wala simwambii kama naona atasikia kutapika akisikia jina lake kama jana alivyosema mdogo wangu amu kuwa yule jamaa hata akisikia sauti yake anasikia kutapikaTwaib! Haina tofauti na unavyokutana na watu wengine katika mishemishe za kila siku.
Na katika mazingira kama hayo mimi sioni sababu ya kumwambia mwenzio hususan kama unajua au hata kuhisi tu kuwa hatafurahia.
ha haaa, angalia usikorome sana inaweza ishia, koroma taratibu, lol!leo nakoroma kama gari lilikata muffler.
iyo kesho kutwa nafikiri watu wataweka pamba maskion mweeeh!
hapa niko rehasal nanguruma hadi mtu kaniambia inabidi ujifayie utafiti hiyo sauti yako nimecheka ile mbaya.
Nadhani ni huko kutofautiana kwa watu.
I will rather know
Hata mie bora nijue
Hata kama nitaumia, lakini uaminifu wangu kwake utaimarika zaidi
Nisipoambiwa halafu nikaja kujua baadae itanisumbua, kwa nini hakusema?
ha haaa, ni kweli kuna wanaotengeneza hadithi za kufikirika ili tu mwenzie ajisikie haaminiwi.FP unajua hili lote linatokana na suala uliloliweka la TRUST. Kama unamwambini mwenzio, akikwambia anakwenda saluni, basi AMINI kuwa anakwenda saluni. Ukianza kuuliza ni saluni gani ulikwenda, salunist gani alikuattend, ni Papaa au mswetiee unaanza kuandaa mazingira ya kutokuaminiana na hasa pale ambapo ukiambiwa ukweli wewe unatengeneza ukweli wako mwenyewe basi unaharibu zaidi. Mf. Nimekwambia leo nimekutana na Ex-(Hapa nakwambia genuinely kabisa ukizingatia tulishamzungumzia). Ukianza kuweka hadithi/scenario zako mwenyewe mf. Mh inawezekana walipanga iweje wakutane leo, kwenye daladala la saa nne..tayari unaleta matatizo.
Hata mie bora nijue
Hata kama nitaumia, lakini uaminifu wangu kwake utaimarika zaidi
Nisipoambiwa halafu nikaja kujua baadae itanisumbua, kwa nini hakusema?
mi naomba unifundishe hapa maneno ya kusema....Kwanza siwezi kuumia kwa mtu kukutana na ex wake bila ya kupanga.
Kitu hicho hakiwezi kutokea kwangu
Sasa asiposema nitajua kuna anachokificha tu
hahahahaha haya ndio mambo ya kusikia jina la yule motto nisiyempenda yaani ukiuliza tu utaambiwa sijui mama. Na kweli ukimkazia macho na kuonyesha msimamo utaambiwa ni kweli mama nimesema uongo hapo itabidi ianze risala tena. Naamini uongo wa kitoto huwa una mwisho sababu wanaogopa sana kuchapwa ndio maana wanasema uongo. Na wakati mwingine hawapendi ujisikie vibayaha haaa, hapo kwenye watoto ndo usiseme my dear, yaani ni majanga........
mimi huwa nasema tu mmmmmmmmhhhhhhhhhhh na jicho nimemkazia, utasikia Nimedanganya, lol!
Hata kama alikutana naye benki kwa bahati tu nayo utataka uambiwe?
Kwanza siwezi kuumia kwa mtu kukutana na ex wake bila ya kupanga.
Kitu hicho hakiwezi kutokea kwangu
Sasa asiposema nitajua kuna anachokificha tu
mi naomba unifundishe hapa maneno ya kusema....
yaani mf nimekutana na x njiani, tunapishana fulani hivi, sababu tunafahamiana tunasalimiana then kila mtu anaenda na hamsini zake. nikifika home naanzaje kusimulia hiyo hadithi? mbona simhadithii habari za watu wote niliokutana nao siku nzima njiani ambao anawafahamu? Kongosho naomba mwongozo kwa hili, naanzaje kuisimulia? I am serious