Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #321
ha haaa, nafurahia sana post zako mkuu...Hivi trust ni ipi?
Ni kuiacha simu ya mpenzio iite aje apokee mwenywe hata wa manane?
Au kung'ang'ana kuipekenyuwa akiiacha mezani, labda kenda kuoga tu ivi?
Akumulikae mchana usiku atakuchoma!
rafiki, mimi sitaki uchokozi, unazijua sababu zangu, au unataka kila mtu hapa anisome?haina madhara ndio, lkn kwanini udanganye? Kwa case yako hiyo ya kuongeza miaka lengo lake ni nini?? Na wewe unajaribu kuprove kuwa mkubwa kuliko hali halisi????? Sikuachi leo mpaka unipe majibu yatakayoniridhisha. LOL
sijui hata kwa nini hatuwezi kuishi bila uongo kiduchu.... inaudhi sana
ni majanga ila uongo
ni sehemu ya maisha hakuna
anaeweza kuishi bila kudanganya hata kiduchu!!
rafiki, mimi sitaki uchokozi, unazijua sababu zangu, au unataka kila mtu hapa anisome?
ndo maana ukisoma hapo nimesema kuwa nafanya hivyo kwa watu wasio na tija, kwa sababu za msingi tu ambazo sometimes hata haisaidii.....
si unajua ninavyopenda shikamoo na kuitwa dada mkubwa? tuishie hapa
ha haaa, ndo hapo tunapowaza labda mtu ana ajenda ya siri ndo maana anadanganyaHakuna kitu kibaya katika mahusiano kama kusema uongo au kugundua umedanganywa...inapunguza trust kati ya wawili
Ni vyema mtu akawa muwazi kwani inaleta uhuru na itamfanya mtu kufanya mambo kkwa uwazi
If you are committed to someone kwanini unafichaficha vitu? Binafsi nalaani mauongo uongo
ha haaa, nimeipenda hiyo RED, dada mkubwa akitoa order lazima itekelezwe..... umeona sasa point yangu? unafikiri hiyo order angetoa snowhite ungeitekeleza? lol!mmmhhn hizi assignment hizi?
kwakuwa umetoa order ngoja ni jaribu;
TRUST jinsi ninavyoelewa mimi na kwa case ya mahusiano ni kumuamini mwenzako, na yeye akuamini. Sasa imani ni nini? Ni swala lingine; lakini characteristics za uaminifu (TRUST) haziusishi kukaguana, kuulizana maswali ya kichunguzi na kutiliana mashaka. So waweza acha simu mfano unaoga ikilia waweza muomba mwenzako akupokelee; lakini sio kukagua kwa lengo la kutafuta incriminating facts kwenye simu ya mwenzi wako. Waweza tafuta say no ya mtu au hata picha au waweza itumia kubrowse say JF lakini sio kutafuta amechat na nani na nini wamechat.
Huo ni uaminifu kwangu mimi.
sijui hata kwa nini hatuwezi kuishi bila uongo kiduchu.... inaudhi sana
unajua nini my dear mdogo wangu, kwa hii post yako umenibadilisha ghafla.....mmmhhn hizi assignment hizi?
kwakuwa umetoa order ngoja ni jaribu;
TRUST jinsi ninavyoelewa mimi na kwa case ya mahusiano ni kumuamini mwenzako, na yeye akuamini. Sasa imani ni nini? Ni swala lingine; lakini characteristics za uaminifu (TRUST) haziusishi kukaguana, kuulizana maswali ya kichunguzi na kutiliana mashaka. So waweza acha simu mfano unaoga ikilia waweza muomba mwenzako akupokelee; lakini sio kukagua kwa lengo la kutafuta incriminating facts kwenye simu ya mwenzi wako. Waweza tafuta say no ya mtu au hata picha au waweza itumia kubrowse say JF lakini sio kutafuta amechat na nani na nini wamechat.
Huo ni uaminifu kwangu mimi.
ha haaaaa, hiyo signature yako nakumbuka ilikuwa motto wa sehemu fulani hivi...... "Sala na Kazi", siyo? usikute tulipita wote hayo maeneo, lol!
yani hatuwezi kuishi
bila uongo ni ngumu sana
ha haaaaa, hiyo signature yako nakumbuka ilikuwa motto wa sehemu fulani hivi...... "Sala na Kazi", siyo? usikute tulipita wote hayo maeneo, lol!
unajua nini my dear mdogo wangu, kwa hii post yako umenibadilisha ghafla.....
niliwahi sema kuwa huwa sijihusishi kabisa na simu ya mume wangu, kuna siku alinikasirikia sana sababu alikuwa anaoga, simu ipo chumbani, kaniomba niipokee nikagoma. alilalamika sana lakini sikuacha hiyo tabia, na sababu ya kufanya hivyo ni kwamba naamini simu yake ni yake na siyo kwamba simwamini.
Imani niliyo nayo kwake ni kubwa sana, naomba Mungu kila siku isije tokea siku nikagundua nilikuwa naamini uongo, itani-hit sana. huwa hana muda na simu yangu, sababu yake tu inamshinda, lol! mimi nina muda mwingi tu ambao ningeweza pekua simu yake kwa kadiri ninavyotaka maana mara nyingi sana anaisahau na kuniomba nimpelekee alipo, lakini sina tu hiyo hari ya kupekua hiyo simu. narudia tena siyo kama naogopa nitakutana na pressure, sijui tu kwa nini huwa nakuwa na amani.
rafiki naona hujanielewa, nimesema siogopi kukutana na pressure ila basi tu inatokea kuwa sijisikii kupekua simu yake.... au niseme sina sababu ya kupekua simu yake sababu najua hakuna la maana nitakalokutana nalo, sasa kwa nini nipekue?Hata nami ningekasirika kama unaacha kupokea simu yangu kisa unaogopa; maana ni sign ya mistrust. Kwanini uanze kuwazia kukutana na pressure? Ina maana unamuamini with some reservation. Maana sidhani kwa kuogopa kukutana nazo utaacha kukutana nazo kama zipo. Live and enjoy the moment bwana!
rafiki naona hujanielewa, nimesema siogopi kukutana na pressure ila basi tu inatokea kuwa sijisikii kupekua simu yake.... au niseme sina sababu ya kupekua simu yake sababu najua hakuna la maana nitakalokutana nalo, sasa kwa nini nipekue?
chukulia una mtoto ambaye unaamini yupo vizuri sana darasani, kila siku homework zake anafanya vizuri saana, hata unapojitahidi kupitia madaftari yake kila siku huoni kosa kwenye homework zake, hivi unaweza kuwa na hamasa ya kupitia homework zake? labda tu kumridhisha kuangalia tu ili umwambie "Good girl/boy" ili kumpandishia sifa, lakini huwezi chukua muda mwingi kwenye daftari lake kuona jinsi alivyokuwa kipanga, lakini yule mtoto ambaye unajua anahitaji msaada hata kama umechoka namna gani, lazima upitie daftari zake na umsaidie afanye vizuri..... got my point?
ha haaa, hiyo ya kuitumia kuna kukwepeka hapo? si unajua tunavyobahiliaga airtime zetu? yaani akiwepo nyumbani tu simu yangu inakuwa likizo...... "naomba simu yako nimpigie Kaunga, naomba simu yako niongee na Said unajua sijamsikia siku nyingi......" hata kama kakuletea airtime ya laki moja bado utataka kutumia simu yake, sijui tuna ugonjwa!sikukuelewa mwaya, kama ni hivyo sawa; l dont support kupekua as in looking for some incriminating things lakini kama nina shida na matumizi ya simu yake siwezi acha kuitumia eti kwa kuogopa naweza nikutane na vitu vya ajabu.
ha haaa, hiyo ya kuitumia kuna kukwepeka hapo? si unajua tunavyobahiliaga airtime zetu? yaani akiwepo nyumbani tu simu yangu inakuwa likizo...... "naomba simu yako nimpigie Kaunga, naomba simu yako niongee na Said unajua sijamsikia siku nyingi......" hata kama kakuletea airtime ya laki moja bado utataka kutumia simu yake, sijui tuna ugonjwa!
ha haaa, sasa usiombe siku aombe yako atumie kupiga, na wenzetu wasivyokuwa na summary...... yaani unamtolea macho kila dakika inavyokatika, na ajue kabisa hiyo atailipa mara 50, lol!Umeona eeh; ni kama kaugonjwa fulani hivi. To put it badly ni "vyako vyangu, vyangu vyangu" lakini in a romantic way. LOL
hivi ulikuwa hujaanza tu kunipigia magoti?
wenzako walianza kitambo sana, na wewe endelea tu..... mimi ndo dada mkubwa huku jukwaani
Aende shule huyo!