KOKUTONA nadhani itakuwa kwa kidume tu..chezeya utamu wa sukariKisa chako hapo juu kimenikimbusha class mate wangu afu alikuwa wa kwetu pia, so mama ya te nilikuwa namwita shangazi. Tulimaliza wote primary secondary tukaachana, but likizo tukawa tunaonana, tukamaliza o level tukaenda advance but shule tofauti but kizamani zamani tukawa tunaandikiana baru.
Sasa kumbe kule shule alikoenda alianza tabia mbaya...i mean A level...likizo akawa haji nyumbani kwetu tena, na hata tukienda kwao anakuwa na nyodo nyodo flani....mie tena nikaamuka kukata urafiki mazima.
Kumbe yeye ana ishu zake...so anaaaga kwa shangazi kuwa anakuja kwetu akati haji, kipindi hicho no cell phone..ukitaka taarifa lazima uchape lapa, TZ 11 ili ukazipate. So alikuwa analala anakokujua akiulizwa anasema kalala kwetu.
Mama mtu akashuka....mboma mwanae ndo anakuja kwetu but sisi mda mrefu umepita hatukanyagi kwao? Wakatuma mtoto wao mwengine kuja kuliza....nyumba nzima tukashangaa...maana hatujawah kumtia machoni....basi wazazi wke wakazani tunatania.
Wakaja, intentionally kunisakama mimi nieleze mtoto wao alipo maana eti siku zote akiaga anasema anakuja kwa KOKUTONA mmmh eti ni siku ya 3 hajarudi na wao wanajua yuko huku.....ikabidi liongelewe kwa mapana na marefu na wakagundua mtoto wao amewaingiza mjini....lakini ndo nilikuwa nimeigizwa kwenye janga nisilolijua.....kisa UONGO.
Wlikuja kumpata mahali ambapo walikuwa shoaked
Ndo maana yake Kaizer.....fikiria wahaya walikuwa wanawekeza elimu kwa binti yaooo...alafu mbwiga tu anakuja kuharibu....alikomaje huyo jamaaa, alijuta kula vya kina muganyizi
Kwani alimlazimisha jamani? Kwa.nini wamnyanyase kidume
maweeeee dah uuuwiii ujue nilikuwa nachukia sana hawa kaka zetu..unataka kunirudisha huko eeeh?
we unafikiri utawa mchezo...... jela tu mtihani sembuse utawa!
acha kabisa kusikia hizo habari
ndo maana wakaita ule ni wito..... unafikiri kila mtu anaitwa?Utawa pazuri sema, ugumu wa kule ni watu kushindwa kupambana na nature .....hitaji la mwili-japo si la lazima kutimiliza
hii stori tuliwahi itumia hiyo mimi na rafiki yangu....Kisa chako hapo juu kimenikimbusha class mate wangu afu alikuwa wa kwetu pia, so mama ya te nilikuwa namwita shangazi. Tulimaliza wote primary secondary tukaachana, but likizo tukawa tunaonana, tukamaliza o level tukaenda advance but shule tofauti but kizamani zamani tukawa tunaandikiana baru.
Sasa kumbe kule shule alikoenda alianza tabia mbaya...i mean A level...likizo akawa haji nyumbani kwetu tena, na hata tukienda kwao anakuwa na nyodo nyodo flani....mie tena nikaamuka kukata urafiki mazima.
Kumbe yeye ana ishu zake...so anaaaga kwa shangazi kuwa anakuja kwetu akati haji, kipindi hicho no cell phone..ukitaka taarifa lazima uchape lapa, TZ 11 ili ukazipate. So alikuwa analala anakokujua akiulizwa anasema kalala kwetu.
Mama mtu akashuka....mboma mwanae ndo anakuja kwetu but sisi mda mrefu umepita hatukanyagi kwao? Wakatuma mtoto wao mwengine kuja kuliza....nyumba nzima tukashangaa...maana hatujawah kumtia machoni....basi wazazi wke wakazani tunatania.
Wakaja, intentionally kunisakama mimi nieleze mtoto wao alipo maana eti siku zote akiaga anasema anakuja kwa KOKUTONA mmmh eti ni siku ya 3 hajarudi na wao wanajua yuko huku.....ikabidi liongelewe kwa mapana na marefu na wakagundua mtoto wao amewaingiza mjini....lakini ndo nilikuwa nimeigizwa kwenye janga nisilolijua.....kisa UONGO.
Wlikuja kumpata mahali ambapo walikuwa shoaked
acha nilale tu babu kesho nina mtihani
ila hakuna kitu nachukia kama uongo huku duniani
kumbe wewe denti best?kweli uongo kitu kibaya sana japo akina dada wakiambiwa ukweli wanapotongozwa hasa kwetu sisi wanafunzi unachafuliwa darasa zima au chuo kizima watajua kuwa hujui kutongoza.....ila ukiwapa uongo kesho yake mbuyu chini....mtihani mwema mi ijumaa mida ya saa tano asbh nitakuwa nimemaliza mitihani kazi inabaki kujimwaga tu hapa jamvini....all in all simile wish once again all da best.
acha nilale tu babu kesho nina mtihani
ila hakuna kitu nachukia kama uongo huku duniani
kumbe wewe denti best?
sasa midevu hiyo ya nini? au ndo uongo wenyewe unauanzia hapa JF kwa kutuonyesha kuwa mzee? ha haaa
cc. Lady doctor, Passion Lady, charminglady, King'asti, Smile, KOKUTONA, amu......
jamani kuna aliyenionea Nyamayao? nimemmissije sasa hapa kumwaga maujuzi yake!

Avater hizi bi dada...waeza dhani wa 47 kumbe wa 2002.....
hii stori tuliwahi itumia hiyo mimi na rafiki yangu....
rafiki kaaga anakuja kwangu temeke, anatokea kigogo..... akapata ajali bagamoyo...... chezeya uongo wewe.... unapata picha tulijitetea nini kwa wazazi zaidi ya kutandikwa bakora? hapo tumemaliza form 6.
Bora umenisaidia mkuu angeniona huyo dada nilivyo anaweza kataa japo 2002 sio anga zangu.........so naamini hata yeye mwenzetu hyo avtar yake tukitaka kumjua huenda ni bibi yetu anayesthili kusalimiwa kwa kupga magoti kama ilivyozoeleka kwetu sumbawanga
hivi ulikuwa hujaanza tu kunipigia magoti?Bora umenisaidia mkuu angeniona huyo dada nilivyo anaweza kataa japo 2002 sio anga zangu.........so naamini hata yeye mwenzetu hyo avtar yake tukitaka kumjua huenda ni bibi yetu anayesthili kusalimiwa kwa kupga magoti kama ilivyozoeleka kwetu sumbawanga