Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #221
hilo ni muhimu sana sana. imagine unakuwa na mtu anakusikiliza tu kila unachomwambia anajua huyu ananidanganya tu........ hata haipendezi, ndo maana mashostito wanaweza kukukimbia sababu wanaona kila unalolisema ni la uongo......Aahhhhh unaumiza sana i see.....unabaki unamwangaliaaa na kujifanya kweli hujui hesabu za kujumlisha....na unaendelea kupata faida na kumjua zaidi bila ya yeye kujijua mwisho wa siku you tell him all...but bado ataweka uongo mwingi kujitetea.
Trust ni muhim sana kwenye mahusiano...kuwa mkweli kwa vidogo ili uaminiwe katika vingi
mmmmmhhhh! haya utachagua venyuyani naona mkanipe darasa kiromo hapo dabo trii mtapaonea tu
umeshakua, umeshayaona.... la maana zaidi ni kujifunza na kusonga mbele...... hakuna kulialiaTuliambiwa kueni myaone...tumekua na tumeyaona kaka....mengine magumu kuliko hayo.
Mzima lakini kaka? Sikuoni?
hilo ni muhimu sana sana. imagine unakuwa na mtu anakusikiliza tu kila unachomwambia anajua huyu ananidanganya tu........ hata haipendezi, ndo maana mashostito wanaweza kukukimbia sababu wanaona kila unalolisema ni la uongo......
Nina tatizo moja la kutokuweka kitu moyoni hasa kinachoumiza kama hiki. Sikupenda kuonyesha msimamo wangu lkn kwa vile umeniuliza ngoja niuseme. Kama mimi ikitokea hivi nitajitahidi kukaa na kitu hiki kwa muda nikiangalia mazingira mazuri ya kuliongelea hili. Sintamwambia kua nimeambiwa na rafiki yangu bali nitatumia evidence ya hicho alichokuta kwenye wallet. Pia nitajifanya nilimuona maeneo hayo ya magomeni na kufafanua nguo alizovaa. Nitafika huku kote iwapo kama ataleta ubishi. Kama atanipa maelezo ya kuridhisha basi nitamsamehe na kumshauri kua uongo wa aina hii una athari kubwa kwenye mahusiano yetu na kumuomba avae kiatu changu ie kama angekua yeye angefanyaje. Naamini kama mtu huyu kweli ni mwamini basi tutayamaliza kwa amani.umeona eeeh! hebu fikiria wewe mama mchungaji ndo unakutana na zali kama hilo, hebu nipe hinti utachomokaje?
Mmh hii ngumu kumesa walah. Uongo wa aina hii unaumiza sana na sijui kama unaweza kumuamini tena. Nadhani utafikiria mengi sana na ni haki yako.
ha haaaa, lol! jaribu kumwambia uone moto wake....Umeona eeeeh, na wakati mwingine ukimuona jamaa ana shost na shost mwenyewe anaona kafikaa...and you know how jamaa alivyo pretty layer you just feel pity loh
umeshakua, umeshayaona.... la maana zaidi ni kujifunza na kusonga mbele...... hakuna kulialia
mwisho unaamua wewe kuomba msamaha ili mambo yarudi kama zamani, lol!Sisi wakina mama tunavumilia mengi sana ndani ya mahusiano basi tu....but as u said ngumu tena chungu kumeza.....utawaza wala majibu usiyapate.
ha haaaa, lol! jaribu kumwambia uone moto wake....
yatakukuta haya
that's my girl, keep it up!Ahhah...kulia tena mpendwa.....nooo i see big nooo...life is tooo short jamani loh...ni kusonga mbele tu i see.
ha ha ha ha ha! umeniamulia shosti! vibaya hivyo ujue!sikukatishi tamaa rafiki....
mbona nayajua mapenzi yako makubwa kwa rafiki? huwezi kumwacha njiani.... mwambie tu kesho akuletee kitambulisho chako
My dear hii ngumu mno . Wamama wanavumilia mengi na hasa wenzi wao wanapokua na tabia ya uongo kwenye issue sensitive namna hii inakatisha tamaa. Binafsi naona ni vema kumueleza alichokuambia kua haukua ukweli na alikua anafikiria nini kusema hicho. Ni bora ajue najua kaniambia uongo kuliko kuweka moyoni.Sisi wakina mama tunavumilia mengi sana ndani ya mahusiano basi tu....but as u said ngumu tena chungu kumeza.....utawaza wala majibu usiyapate.
hahahahahahaunamwambia mpenzi wako unafanya diet kumbe kila siku unakula kitimoto kilo mbili
With all my energy mpendwa.that's my girl, keep it up!
wewe mbu hakuna uongo unaoepusha majanga bana..... unaweza epusha kabla haujajulikana, ila baada......
My dear hii ngumu mno . Wamama wanavumilia mengi na hasa wenzi wao wanapokua na tabia ya uongo kwenye issue sensitive namna hii inakatisha tamaa. Binafsi naona ni vema kumueleza alichokuambia kua haukua ukweli na alikua anafikiria nini kusema hicho. Ni bora ajue najua kaniambia uongo kuliko kuweka moyoni.