Trust katika Mahusiano

Babu uliposema ukweli mwengine ni bora useme uongo....ili ukweli usijemuumiza mupenzi.....bu what if umedanganya afu akajua?


Nipate vizuri mdogo wangu...

katika mambo yote ya msingi ya mahusiano yetu...UKWELI UKWELI UKWELI siku zote...

katika mambo petty petty na yasiyo na tija...hakuna hata haja ya kuyaongelea.

Babu DC!!
 
rafiki mi ntakuwa sikuambii kama nina mgonjwa ujue.......
sasa masifa yangu yote yale siku ukija kwangu si itakuwa balaa......
bwana eeeh! nikiwa na mgonjwa tutakutana hosp........ sawa?
yaani hapa nacheeeeka, kwa raha zangu....
 

hahahahahahahahahahaha duuuu hii noma alaf na hisi hii ni tabia
 

Najaribu kuimagne ndo wajifanya mkweeli na mwamniifu...mume/mke wangu am soory am sorry unajua......unajua nilishindwa kujizuia....please understand me my dear...najua utaumia but forgive me......utazunguuuka weee unachotaka kukisema hukisemi.......mpango wa kando mchezo....tutadanyanywa tuuuu
 
On my way mpendwa hii cheating imenigusa sana...maana kimtindo nimesha danganywa sana ki isiyo na tija..but gharama zake bora mtu aseme ukweli....naja bibie
tunakusubiri mamii.....
lakini hilo la cheating litakuja kivingine..... hapa tuongelee ya kawaida tu
 
hahahahahaha mumeo alikuwa ana kutega, daa ulivyomsifia jamaa alijua hapa sina changu, ukweli ulikuweka huru.
 
rafiki mi ntakuwa sikuambii kama nina mgonjwa ujue.......
sasa masifa yangu yote yale siku ukija kwangu si itakuwa balaa......
bwana eeeh! nikiwa na mgonjwa tutakutana hosp........ sawa?
yaani hapa nacheeeeka, kwa raha zangu....
jichekee mwaya! dunia ina miujiza na mitihani! ila hii ni mitihani ya kujitakia! utasikia oooooooo mume wangu yupo kwenye research za kufa mtu nchi za asia! kumbe puuuuuuuuu kapigika mbayaaaaaaa kutwa kujisifia! jamani tubadilikeeeeeeeeeee! bora uwadanganye mapacha wangu, mtu mzima mwenzio kweli?
 
Hapo kwenye bold nimekuelewa mkuu

Mwanamume anashindana na wanae kwa mkewe sasa ndo ulete habari za ex si ndiyo patachimbika??

Tuacheni jamani...Mungu mwenye ndiye katuumba hivyo...

Just loves and get us not into competition...

Babu DC!!
Well noted
 
tena snowhite awe supervisor wetu! na @gfsonwhite atuongoze kwenye dessertation, jamani mbona majangaaaaaaaa?? yaani kuna watu ni waongoooooo wamevuka mipaka! mi hubby wangu Asprin anasemaga uongo mtamu!
kuna uongo mtamu rafiki?
uongo wote ni mchungu tu ukishajua umedanganywa
 
mwali venyu ni mwl nyerere cc.
mtaadharishe rafiki cacico kuwa haendi kuonana na watu wasio na maana, ulinzi huko 100% itabidi awe na kitambulisho..... mimi sitakuwa tayari kwenda kuwekea dhamana mtuhumiwa wa ugaidi...... wakuu 17 mchezo....
 
Last edited by a moderator:
mtaadharishe rafiki cacico kuwa haendi kuonana na watu wasio na maana, ulinzi huko 100% itabidi awe na kitambulisho..... mimi sitakuwa tayari kwenda kuwekea dhamana mtuhumiwa wa ugaidi...... wakuu 17 mchezo....
hata ukinikatisha tamaa nitakwendaaaaaaaaaa! lazma kumsuport rafiki, nguvu zako za kunikatisha tamaa nazikemea!
 
hata ukinikatisha tamaa nitakwendaaaaaaaaaa! lazma kumsuport rafiki, nguvu zako za kunikatisha tamaa nazikemea!
sikukatishi tamaa rafiki....
mbona nayajua mapenzi yako makubwa kwa rafiki? huwezi kumwacha njiani.... mwambie tu kesho akuletee kitambulisho chako
 
Kwa maelezo haya sioni kosa lako lkn ndio wanaume tutasemaje. Ila wao wakitaka kusema ya kwao sisi hatuna budi kukubali na kuwasikiliza.
 
ndo maana nilisema kama hajakukuta sealed basi max number kumtajia huwa ni 2, kama hukuishia kwenye 1...
ila mimi sijui nimelogwa, huwa napenda sana kusikiliza hadithi za ma-x, walivyokutana, alivyomfukuzia, alivyojibiwa........mpaka walivyomwagana.... yaani inakuwa kama movie fulani hivi.... ninaposimuliwa nakuwa sina mbavu kwa kucheka
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…