Trust Again in a Man.

Trust Again in a Man.

Hahahahaaa amenisumbua muda mrefu eti hakupati umemtosa akaenda kwa Uporoto akatendwa akaona bora akutafute kwa hii dedication...lol na amekupa hope sasa atakuwa na furaha

umefurahi eeeh!
 
Teh we sijui ulizubaa wapi jamaa akakupiga bao ila ya kale hayanuki...bado anakuhutaji sana...
Ngoja aje mwenyewe uone

ya kale hayanuki?yapi?manini? Na una bahati tu leo sijisikii vizuri la sivyo..,
 
Sasa atamuajiri mwizi amlindie? Hapo ndo atakuwa kachemsha....Dawa ni kumwomba Excellent ndo wanilinde coz atalinda kotekote

tuheshimiane, nani mwizi?na anamuiba nani?
 
tuheshimiane, nani mwizi?na anamuiba nani?
Kwani we si ndo chanzo cha imani ya nanii kwangu kuisha?
Na hakikisha unamwambia kuwa sijakuota...sawa eeh nikikuota ntakua nakuambia kwa PM eeeh ili akina watatu wasijue
Hahahaaaa
 
Hahahahaaaa we si ulimwaga Excellent kisa Uporoto?
Hahahhaaaa usitupe mbachao...

mimi huwa naenda kwa mkataba,na mkataba na excellent uliisha,sasa uporoto sijui kafupisha?khaa
 
mimi huwa naenda kwa mkataba,na mkataba na excellent uliisha,sasa uporoto sijui kafupisha?khaa
Teh anza kumtafuta mrithi wa Uporoto mapema....Nashauri mbadilishane na SweetLady....yan Uporoto aende kwa SL na Nitonye kwako
 
yani wifi huyo mganga wako mkare, uporoto kanikimbia umemficha api?
Hehehe! Nikisema mimi naambiwa wifi hunipendi...

afu ujue toka majuzi kakako alivoenda kwenye zarura hajarudi mpaka wa leo? Nzuri zaidi hata simu yake haipatikani...
 
Teh anza kumtafuta mrithi wa Uporoto mapema....Nashauri mbadilishane na SweetLady....yan Uporoto aende kwa SL na Nitonye kwako

chaaa,koma wee nitonye ni kaka'ngu toka ntoke.
 
Teh anza kumtafuta mrithi wa Uporoto mapema....Nashauri mbadilishane na SweetLady....yan Uporoto aende kwa SL na Nitonye kwako
Mswalie mtume we b52, Uporoto shemeji yangu wa damu, toka ntoke!
 
Back
Top Bottom