Trust Again in a Man.

Teh utashangaaaa wanjanja hao washakuzidi kete na huna hata hela ya kula leo....
njoo uchukue buku ya mchana....lol ule hata ubuyu tu

na laki tatu ya lunch usiku ndo sina,pyaaa ubuyu mpelekee amyner.
 
kweli kabisa,uwepo wako umenibariki sana.pole na majukumu ndo maisha hayo

Asante mkuu, nami pia natambua uwepo wako ktk jamii hii ya watu mchanganyiko,

PS:
Mkuu una updates zozote kuhusu mgomo wa madaktari kwa leo? Kama unazo hebu nipe dondoo japo kwa ufupi.
 
Ricky!! Nahisi nahitaji private detective wa kukufatilia naanza kukudoubt!
Hapana mumy usiwaze kwa hili....Nilishakuambia huyu Kaby ana lake jambo....we mzoee tu hapa makali kwangu...
yan ni wewe tu barafu wa moyo wangu
 
Asante mkuu, nami pia natambua uwepo wako ktk jamii hii ya watu mchanganyiko,

PS:
Mkuu una updates zozote kuhusu mgomo wa madaktari kwa leo? Kama unazo hebu nipe dondoo japo kwa ufupi.

hapana kwa kweli nilikuwa huku kijijini kishumundukosi ndo narudi mjini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom