Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
- #21
Hahahahaaaa nimeota umeenda spain na Uporoto..
Hahahhaaaa vipi mzima?
kichwa kinaniuma kweli leo kwa hiyo staki presha presha,uporoto nae kazima simu hata sijui yuko api
Hahahahaaaa nimeota umeenda spain na Uporoto..
Hahahhaaaa vipi mzima?
One day yes.., so kip on huslering
Yeah imetulia bt nadhan yeye hajapita njia hii maana hata simuoni.
It's a nice poem and food for thought as well.
Ricky you got some explanations to do here!
Kipenz i love ur poems.. Even the sad ones!
Aisee naona Kaby anaendelea na mpango wake wa kutuhaibia hahahahaaaaRicky you got some explanations to do here!
Aisee naona Kaby anaendelea na mpango wake wa kutuhaibia hahahahaaaa
si tulikuwa wote mama....hata kulala sijalala sasa ningemuotaje?
nahisi yeye ndo katuota tunavyoenjoy....teh
Pole sana....atakuja tu labda naye kaenda kutafuta riziki a leo....kichwa kinaniuma kweli leo kwa hiyo staki presha presha,uporoto nae kazima simu hata sijui yuko api
Hahahahaaa thubutuuuuu.....unataka Amy anigonge mzungu wa nne leo kisa namuota mwingine wakati yeye ndo mhusika?hehe basi uliniota kwenye sleepdoing yako.
thanx skype,halafu umepotea mama kakubana nini?
Pole sana....atakuja tu labda naye kaenda kutafuta riziki a leo....
Hahahahaaa thubutuuuuu.....unataka Amy anigonge mzungu wa nne leo kisa namuota mwingine wakati yeye ndo mhusika?
Nipo sana tu ila kuna kipindi pilika za kimaisha hua zinanitinga sana, hata hivyo siwezi kujitenga na hii familia ya watu mchanganyiko yaani jf.
we mtunzi bhana
Weeeeee acha wivu aisee....hiyo inadhihirisha ni kweli ulifanya hvyo.Chu chu poor amy
Teh utashangaaaa wanjanja hao washakuzidi kete na huna hata hela ya kula leo....sio kawaida yake hata hajamtuma dereva alete hela ya kula.Sijui shangingi gani kamteka bwana'ngu lol
hehe hivi wewe mara ya mwisho kakuota lini vile?? Ukiona manyoya,.....
Weeeeee acha wivu aisee....
Hahahahaaaa