Trump: Sitaki nikutane tena na msukule maishani

Trump: Sitaki nikutane tena na msukule maishani

TRUMP MWENYEWE NI MSUKULE HALISI WALAHI!
That’s all
 
Kuna watu wamempelekea malalamiko kuhusu uchaguzi wa marudio Buyungu na wanasubiri mrejesho , sasa kama anamdharau Raisi wa taifa kubwa Afrika kama Nigeria sijui ndo atasikiliza malalamiko ya kachama kanaitwa CHADEMA, kanatokea nchi ya Tanzania, tena malalamiko yenyewe yanahusu uchaguzi wa marudio.Sijui kwa marekani uchaguzi wa marudio unaitwaje, wasomi tusaidiane tafadhali.Huyu jamaa Trump ni chizi fresh mchanganyiko wa ubaguzi na zaidi, kama anawabagua wa Mexico ambao kiasili ni weupe huwa nashangaa mtu yeyote anayemshangilia na kumuona kama mkombozi.Siku akiamua kuonyesha TRUE COLOURS zake kuhusu anachoiwazia Africa, ukoloni na utumwa unaweza kuanza upya kama karne ile.Ndo maana anaona aachane na Africa.Ila kuna watu hata humu JF wanamuona ni kimbilio.
Sawa kabisa. Na kwa rais wetu alivyo wala hamshobokei kabisa. Nina imani kabisa dawa ya Trump ni Magufuli. Akimletea nyodo na yeye anamletea. Hawa jamaa ni kuwakazia tu.
 
Hata na Buhari walibonga vizuri tu. Lakini nyuma ya pazia hakuna cha Uhuru wala Buhari. Wote hao ni "shitholes" kwa Trump. Zinduka.
Ni kwamba Trump kuongea na Uhuru ni ushindani tu wa kutaka kumpiku mchina si upendo alionao juu ya Kenya,
Cz imagine Kenya imepoteza askali polisi zaidi ya 100 kule Somalia,na baadhi ya miundo mbinu kuharibiwa,,,sasa leo ndo ishangiliwe kuwa Trump inaipenda Kenya?
Yy ni kutaka kumpiku mchina tu si zaidi ya hayo!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha
Kuna mijitu humu ndani wakiona mdhungu au mchina wanaona kama wamekutana na Mungu!
Totally pathetic walahi
Hawajithamini kabisa!
Ndiyo unakuta wanamwamkia shkamoo mtoto wa kihindi au mdhungu, ovyo kabisa walahi
That’s all
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tungo tata hili,
Wenye akili tunakuelewa,,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wamempelekea malalamiko kuhusu uchaguzi wa marudio Buyungu na wanasubiri mrejesho , sasa kama anamdharau Raisi wa taifa kubwa Afrika kama Nigeria sijui ndo atasikiliza malalamiko ya kachama kanaitwa CHADEMA, kanatokea nchi ya Tanzania, tena malalamiko yenyewe yanahusu uchaguzi wa marudio.Sijui kwa marekani uchaguzi wa marudio unaitwaje, wasomi tusaidiane tafadhali.Huyu jamaa Trump ni chizi fresh mchanganyiko wa ubaguzi na zaidi, kama anawabagua wa Mexico ambao kiasili ni weupe huwa nashangaa mtu yeyote anayemshangilia na kumuona kama mkombozi.Siku akiamua kuonyesha TRUE COLOURS zake kuhusu anachoiwazia Africa, ukoloni na utumwa unaweza kuanza upya kama karne ile.Ndo maana anaona aachane na Africa.Ila kuna watu hata humu JF wanamuona ni kimbilio.
Are you aware of US Embassy statement regarding the by election???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikisoma hii thread comment zake nakuja kugundua kuwa WaTZ tuna safari ndefu sana. Watu wameshindwa kung'amua kuwa hii ni FAKE NEWS na hakuna chombo kikubwa hata kimoja ikiwemo liberal media ambazo ni ant-trump kilichoripoti hii habari.
Isipokuwa web za nigeria ambazo zinamzihaki rais wao ambaye ni mgonjwa.
JamiiForums
 
Inategemea na Rais "msukule/kibwengo" cha nchi inayoongoza..mbona U.Kenyata wamebonga vzur..
Sasa mtu kama M7, Uyo Buhari kwanini wasiitwe vibwengo ?
Anayepona East Africa ni Uhuru wengine waliobaki sina la kuongeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu kama Trump wanapenda kuwa na "Kiss ass puppet" kinda MoFos like you and Uhuru.
They can't stand a strong minded African Leader.
 
Nadhani Trump hakumaanisha msukule Bali mfu anayetembea..na nikutokana na hali ya kiafya ya buhari ikumbukwe alifanyiwa cloning kny baadhi ya viungo vyake vya ndani hivyo ikimaanisha hana mda mrefu wa kuishi...na kwa mantiki hiyo basi hata wakijadili au kukubaliana jambo baina yao halitatekelezeka kutokana na hali ya afya ya buhari...tafsiri ya trump hapa ni kwamba alihitaji mtu young and energetic plus healthy.
 
Back
Top Bottom