Trump: Sitaki nikutane tena na msukule maishani

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
34,145
Reaction score
33,019
Haya sasa waafrika tumezidi kujikomba komba kwa Trump. Angalia anavyomnanga Buhari nyuma ya pazia.

Trump referred to Buhari as ‘lifeless’ – Financial Times
Pic-15-PMB-MMETS-PRESIDENT-TRUMP-OF-US-1062x598.jpg

President Donald Trump of the United States (L) poses while President Muhammadu Buhari signs visitors book at the White House in Washington DC on Monday. PHOTO: ICE/NAN

The United States president Donald Trump referred to his Nigerian counterpart Muhammadu Buhari as “lifeless” shortly after a meeting between the two leaders on April 30, Financial Times said on Monday.

Buhari, the first sub-Saharan Africa president to meet Trump since he was sworn in January 2017 as the 45th American president, was in the US for bilateral talks on Trump’s invitation.

That meeting ended with Trump saying he never wanted to meet someone as lifeless as Buhari again, Financial Times reported citing three persons familiar with the matter.

Chanzo:
 
Kuna watu wamempelekea malalamiko kuhusu uchaguzi wa marudio Buyungu na wanasubiri mrejesho , sasa kama anamdharau Raisi wa taifa kubwa Afrika kama Nigeria sijui ndo atasikiliza malalamiko ya kachama kanaitwa CHADEMA, kanatokea nchi ya Tanzania, tena malalamiko yenyewe yanahusu uchaguzi wa marudio.Sijui kwa marekani uchaguzi wa marudio unaitwaje, wasomi tusaidiane tafadhali.Huyu jamaa Trump ni chizi fresh mchanganyiko wa ubaguzi na zaidi, kama anawabagua wa Mexico ambao kiasili ni weupe huwa nashangaa mtu yeyote anayemshangilia na kumuona kama mkombozi.Siku akiamua kuonyesha TRUE COLOURS zake kuhusu anachoiwazia Africa, ukoloni na utumwa unaweza kuanza upya kama karne ile.Ndo maana anaona aachane na Africa.Ila kuna watu hata humu JF wanamuona ni kimbilio.
 
Inategemea na Rais "msukule/kibwengo" cha nchi inayoongoza..mbona U.Kenyata wamebonga vzur..
Sasa mtu kama M7, Uyo Buhari kwanini wasiitwe vibwengo ?
Anayepona East Africa ni Uhuru wengine waliobaki sina la kuongeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata na Buhari walibonga vizuri tu. Lakini nyuma ya pazia hakuna cha Uhuru wala Buhari. Wote hao ni "shitholes" kwa Trump. Zinduka.
 
Kuna watu wamempelekea malalamiko kuhusu uchaguzi wa marudio Buyungu na wanasubiri mrejesho , sasa kama anamdharau Raisi wa taifa kubwa Afrika kama Nigeria sijui ndo atasikiliza malalamiko ya kachama kanaitwa CHADEMA, kanatokea nchi ya Tanzania, tena malalamiko yenyewe yanahusu uchaguzi wa marudio.Sijui kwa marekani uchaguzi wa marudio unaitwaje, wasomi tusaidiane tafadhali.
Ndio hapo sasa.
 
Kuna watu wamempelekea malalamiko kuhusu uchaguzi wa marudio Buyungu na wanasubiri mrejesho , sasa kama anamdharau Raisi wa taifa kubwa Afrika kama Nigeria sijui ndo atasikiliza malalamiko ya kachama kanaitwa CHADEMA, kanatokea nchi ya Tanzania, tena malalamiko yenyewe yanahusu uchaguzi wa marudio.Sijui kwa marekani uchaguzi wa marudio unaitwaje, wasomi tusaidiane tafadhali.Huyu jamaa Trump ni chizi fresh mchanganyiko wa ubaguzi na zaidi, kama anawabagua wa Mexico ambao kiasili ni weupe huwa nashangaa mtu yeyote anayemshangilia na kumuona kama mkombozi.Siku akiamua kuonyesha TRUE COLOURS zake kuhusu anachoiwazia Africa, ukoloni na utumwa unaweza kuanza upya kama karne ile.Ndo maana anaona aachane na Africa.Ila kuna watu hata humu JF wanamuona ni kimbilio.
Mungu mbariki Trump. Kiboko ya wapumbavu
 
Well said
 
Wewe ndo MPUMBAVU.. Anakuita SHIT HOLE unasema Mungu mbariki????,huelewi maana ya SHIT au maana ya HOLE?, ..Ngoja nikutafsirie SHIT ni MAVI na HOLE ni TUNDU... wewe ni SHITHOLE maana yake wewe ni TUNDU LA MAVI.. Haya mwambie MUNGU ambariki tena.
Hahahaha
Kuna mijitu humu ndani wakiona mdhungu au mchina wanaona kama wamekutana na Mungu!
Totally pathetic walahi
Hawajithamini kabisa!
Ndiyo unakuta wanamwamkia shkamoo mtoto wa kihindi au mdhungu, ovyo kabisa walahi
That’s all
 
Back
Top Bottom