Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,598
- 46,633
China kamzidi nini labda?Matokeo ya kujipendekeza.
Mwenzenu ana stress za kuzidiwa na china,nyie mnalalamika ooh Buyungu tumeibiwa,Buyungu ndio nini
Sent using Jamii Forums mobile app
China kamzidi nini labda?Matokeo ya kujipendekeza.
Mwenzenu ana stress za kuzidiwa na china,nyie mnalalamika ooh Buyungu tumeibiwa,Buyungu ndio nini
Inaonekana siku ukikutana naye wewe utamgeuzia mgongoDaaa!!!! Sipati Picha siku akikutana na jiwe, hata cjui atamwitaje maana itakuwa lugha gongana alafu gesture za jiwe zitamfanya trump achomoe hata bastola hahaaaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh [emoji23] mkuu mimi sikai hukoleo ndio nimejua unakaa manzese kwa mfuga mbwa .
Daaa!!!! Sipati Picha siku akikutana na jiwe, hata cjui atamwitaje maana itakuwa lugha gongana alafu gesture za jiwe zitamfanya trump achomoe hata bastola hahaaaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Duh, yaani mpaka Trump amalize muhula wake au mihula yake, tutasikia mengi sana.
Jamani halafu Buhari mwenyewe anaonekana kama sio muongeaji sana..
Huyu baba, yeye lugha anayo imudu mujarab ni kisukuma tu, maana hata kiswahili kwake ni mtihani..tehteehhUshimen watu humu wameongea haswa! [emoji16]
Huyu baba, yeye lugha anayo imudu mujarab ni kisukuma tu, maana hata kiswahili kwake ni mtihani..tehteehh
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe ndo bwengo lililokubuhu.Inategemea na Rais "msukule/kibwengo" cha nchi inayoongoza..mbona U.Kenyata wamebonga vzur..
Sasa mtu kama M7, Uyo Buhari kwanini wasiitwe vibwengo ?
Anayepona East Africa ni Uhuru wengine waliobaki sina la kuongeza.
Sent using Jamii Forums mobile app
You can go hang.
I don't give a tinker's cuss.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe ndo MPUMBAVU.. Anakuita SHIT HOLE unasema Mungu mbariki????,huelewi maana ya SHIT au maana ya HOLE?, ..Ngoja nikutafsirie SHIT ni MAVI na HOLE ni TUNDU... wewe ni SHITHOLE maana yake wewe ni TUNDU LA MAVI.. Haya mwambie MUNGU ambariki tena.