Trump ni Freemason?

Trump ni Freemason?

Tareeq

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2010
Posts
828
Reaction score
408
Kwa utajiri na mbwembwe zooote za huyu jamaa nadhan huyu jamaa ni FREEMASON Wengine mnasemaje
 
Ndugu yangu hayo mambo hayakusaidii kimaendeleo ebu toka kwnye icho kiza cha ujinga
 
Watanzania tukiendelea na ukuku kama huu tutaendelea kuwa maskini daima. Fanya kazi kijana huwezi kupata hela kwa kuthani tuu. Hakuna cha ufree mason wala nini
Ni juhudi za watu kufanikiwa
 
FREEMASON ni idea ya uongo tu.

Hakuna kitu kama hicho...ni imani ya kijinga tu waliyobuni wazungu.
 
Tuko mbulula wengi humu ila wengine hawajui hata umasonia ni hoja gani badala yake twadhani tukishabikia tu baasi a peace of mind ingefaa tujiue umasonia ni nini na tabia tata ya mkuu huyu mmbakaji inahusiana na hii mada ya umasonia kesha atakapotupa mashariti kama yale aliyoyakataa mzee Mugabe aah
 
Mbona halali hao freemanson wakamletea pesa.Fanya kazi acha uvivu kijana.
 
Freemason ni mambo ya kufikilika tu,watu na juhudi zao bwana!
 
TRUMPF NDIO NINI?
MAANA NAMJUA TRUMP TU
 
Hv freemanson si.dini tuu

Wahashi.huru,

Hv n kweli.wanaleta itajir,mm n kaz kuamin.haya mambo,na nitakuwa wa mwisho kuamn mpk nije kushuhudia,ngoja nipate muda niwatembelee hao watu
 
Kumbe unadhani endelea kudhani..............
 
Back
Top Bottom