hivi gallon ni Lita ngapi vileWandugu Wananchi wa USA hawataki utani .
Wamemchoka Trump na Drama zake .
Alipoingia alikuta wananchi wake wakinunua mafuta dola 3 na sasa ni dola 6 kwa gallon.
Alidanganya Dunia kwamba akipata Uraisi angemaliza tatizo la Ukraine ndani ya masaa 24 ila kinachoendelea ni shidaaaaaaa.
3.7 litershivi gallon ni Lita ngapi vile
Iran ni superpower...Wandugu Wananchi wa USA hawataki utani .
Wamemchoka Trump na Drama zake .
Alipoingia alikuta wananchi wake wakinunua mafuta dola 3 na sasa ni dola 6 kwa gallon.
Alidanganya Dunia kwamba akipata Uraisi angemaliza tatizo la Ukraine ndani ya masaa 24 ila kinachoendelea ni shidaaaaaaa.
Alikengeuka akamsikiliza Netanyahu kuvamia Iran bila yeye kuomba kibari cha bunge sasa kinachokwenda kufanyika watamkaanga kwenye vikao .
Mama Samia aliudanganya umma wa watanzania Katiba ingepatikana ndani ya siku 100, angewezesha vijana kwa mikopo bila masharti magumu kupitia YDF.
Mama Samia huyohuyo aliahidi ujenzi wa barabara kadha wa kadha ambazo baadhi zilishafanyiwa na uzinduzi rasmi toka 2023 ila hadi leo hakuna hata KM 0.5 iliyojengwa
Mama Samia aliahidi mkoa wa Pwani kuwa mkoa wa viwanda ila haijawahi kutokea siku hata moja mkoa wa Pwani umeme usikatike
Tanzania kwa matahira na masikini wakutupwaAlidanganya umma gani, kwani samia ni raisi wa nchi gani?
Hizo ni siasa za kawaida Kwa wamarekani imekuwa hivyo miaka nenda rudi na zitaendelea hivyo miaka yote regardless ya sera za nje za marekaniIran ni superpower...
Kinachomtokea Netanyahu na Trump ni matokeo ya kuishambulia Iran...
Iran kafunga Hormuz kibabe wakifahamu fika ndipo itakuwa anguko la Trump...
Republicans wamefeli vibaya hadi sijaamini... ni noma aisee...
Wandugu Wananchi wa USA hawataki utani .
Wamemchoka Trump na Drama zake .
Alipoingia alikuta wananchi wake wakinunua mafuta dola 3 na sasa ni dola 6 kwa gallon.
Alidanganya Dunia kwamba akipata Uraisi angemaliza tatizo la Ukraine ndani ya masaa 24 ila kinachoendelea ni shidaaaaaaa.
Alikengeuka akamsikiliza Netanyahu kuvamia Iran bila yeye kuomba kibari cha bunge sasa kinachokwenda kufanyika watamkaanga kwenye vikao .
Sio kawaida, mid term kuwa namna hio...Hizo ni siasa za kawaida Kwa wamarekani imekuwa hivyo miaka nenda rudi na zitaendelea hivyo miaka yote regardless ya sera za nje za marekani
Kwan Democrat ya kipindi cha Obama kwann ilipigwa chini?
Ulifanyika jana,unaitwa uchaguzi wa katikati ya muhula ambapo wanachagua wabunge wa seneti na Congress pia magavana wa majimbo,uchaguzi mkuu utafanyika mwaka 2028( ufanyika kila baada ya miaka minne)Kwani uchaguzi ni lini?
Kumbee ni wa nusu muhula basi asiwe na preshaUlifanyika jana,unaitwa uchaguzi wa katikati ya muhula ambapo wanachagua wabunge wa seneti na Congress pia magavana wa majimbo,uchaguzi mkuu utafanyika mwaka 2028( ufanyika kila baada ya miaka minne)
Trump hawezi kushinda 2028...Kumbee ni wa nusu muhula basi asiwe na presha