STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,638
- 16,566
Utawala wa Rais wa Marekani Joe Biden umesema unafikiria kuzuia Trump asipewe taarifa za siri nzito za Nchi hiyo ambazo kwa kawaida Marais Wastaafu huwa wanapewa dokezo, Msemaji wa Ikulu Marekani Jen Psaki amesema kitendo cha Trump kuwashawishi Wafuasi wake kuvamia Bunge ni miongoni mwa mambo ambayo bado yanawapa wasiwasi kuhusu kumuamini Trump.
Sababu Nyingne ambazo zijatajwa kama chanzo cha Trump kutaka kuzuiliwa kupewa siri nzito za Serikali ya Marekani ni madai ya kwamba alivujisha taarifa kuhusu ISS kwa Warusi na aliwahi kupost kwenye mtandao wa Twitter picha za satellite za kituo cha Nyuklia cha Iran ambazo zilikuwa za siri.